Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

mKUU LEO UTAKESHA.MAANA TUTAMKOMALIA MANGI MWENZIO HADI ASUBUHI.NAJUA LAZIMA UWAJIBIKE KULIPA FADHILA ZA HELKOPTA.


MKuu si kawaida yenu .... simmeona namna mlivyomtenga SITTA kwenye maziko ya NGITTU...mlimuweka mbali na JK....kisa BIFU!!...WAKATI ki protocal baada ya JK aliyekuwa akifuatia pale KWA mamlaka sio MEMBE ...bali ni SITTA...HIYO nayo mnasemaje nyie redio mbovu??

wazee wa visasi
 
wewe ndo unaona hivyo but kusema Malecela kapokea 200m za Jeatu ndo kosa au?au mlitaka aseme nini?mambo ya hovyo kabisa haya?mwache aseme kama ambavy akili yake imemtuma kwa kuwa kwa kufabya hivyo sio kosa?m,bona hamumshangai mengi anapoitisha PC na kusema yeye ni mwana CCM toka 1977! nani kamuuliza na anafanya hivyo kuweka rekodi sawa za nani na kwa faida ya nani?yaani ni upupu tupu.Sofia ameongea hivyo ndani uya chama chake na huo ndio utaratibu wao ,sasa nyie mnawashwa nini?kama na nyinyi ni CCM si ndo utaratibu wenu huo.
Mkuu unajuwa kuna watu humu wafata mkumbo tu...they do not reason...wakiambiwa tu fulani mwizi na wao wanaingia hivyo hivyo...hawataki kupima ukweli wa mambo kuwa MAKELELE YOTE HAYO NI WATU WALIOKWISHA WAIBIA NA KIWADANGANYA WATU siku zote na tofauti za sasa ni kama za MAJIZI YALIYOKOSANA KATIKA KUGAWANA MALI YA WIZI sasa yanahujumiana tu.CCM imechoka jamani hakuna mzima mule...siyo aondoke mmoja tu chama cha Mapinduzi chote kiwapishe watanzania wapumuwe na mikorogano yao.
 
Ndugu wanaforum,
Binafsi nampongeza Bi Sofia Simba kwa ushujaa wake. Hii aliyoitowa mwanamama huyu ni kweli isiyo na doa kuhusu CCM na ufisadi. Uliojaa ndani ya CCM ni ufisadi ufisadi ufisadi na kama hutaki kushirikiana na ufisadi ndani ya CCM ni vigumu sana kuendelea. Mambo yatadhihirika kidogo kidogo kwa wale ambao mpaka sasa hawajafungua macho na ufisadi wa CCM. Hongera bi Sofia! Hongera bi Sofia.
 
Wimbo wa hayati BOB MARLEY stiff necked fool una ubeti usemao 'The lips of righteous teach many but fools die of want of wisdom'

Je lips of fool?
 
sijui nini ambacho hatuelewi Watanzania..........Serikali ya JK ni serikali ya KISHKAJI!!!! hamouni kina EL wamepiga biti mjadala wa Richmond umeondolewa!! muhimu tuapply the 2nd alternative......
 
Angesema dr. Slaa "hakuna asie fisadi ndani ya CCM" ingechukuliwaje? Sofia Simba has been in the system for years thats why she is becoming honest. mwisho wa uovu ni aibu.
 
Sofia Simba kama mama anatulea vibaya.
Mengi anahaki ya kujieleza na kusema ukweli. Ila namwomba awe mwadilifu wa maneno anayoyatumia ijapo yana hisia sinazoeleweka.
 
GT, heshima mbele,

Usitake kumfanya mama Simba AONEKANE KAMA POLITICAL HEAVY WEIGHT IN TANZANIA. SHE IS NOT. Her impact is just negligible to say the least. Huyu mama among others, wameingia kwenye siasa kwa kubebwa na wazee wa chama. Hana ubavu wa kushindana na mzee Mengi. Atleast on this I can bet my five cents.

Never underestimate mzee Mengi. Kwa vile havai kofia ya kijani au shati la njano..haina maana kwamba system haijui vyema.

Kama umeisoma hii PC ni dhahiri kwamba Mzee Mengi ameiandika/kuitoa kwa minajili kwamba imuumize TO THE MAXIMUM mhusika na katoa majina..hakujiumauma. Maana kumuita mtu ni mjinga tena waziri inakuonyesha how mzee alivyo na confidence ya anachokifanya.

I dont know much kuhusu huyu mzee..ila what I see ni kwamba watu kama akina Sofia Simba wanapewa madaraka wanajisahau. She thinks she is on top of the world. Unadiriki kusema kwamba CCM hakuna msafi..as if Tanzania ni private company..we have to play to the tunes za wana CCM na viongozi wake? She is simply wrong! She should just know. She might be in Office, but somebody else is in power.

Lastly, Huyu mama, nadhani hatumii uwezo wake wa kufikiri vyema.....huwezi kwenda kuongea mbele ya kadamnasi kwamba fulani siyo member wa Chama bila kuwa na facts zako fresh.

Ohh..nearly forgot, even one of her Predecesor Masilingi..picked up a fight with mzee Mengi..thinking kwamba yeye ndo yeye kwenye nchi hi..where is he now? Moral of the story..ukiwa na kibarua cha serikali..tread carefully. Hujui boss wako na yeye alisaidiwa na nani kuwa alipo...

Ee bo..wewe unataka kuwa Mkatoliki kuliko Papa mwenyewe aliyeachiwa kanisa na Petro?-Mama Simba should no better. Na ni kwa sababu ya vinchi masikini kama sisi..but who gives a damn to the so called waziri?

I will be happy to see her going to court asking for damages!
Masanja mwana wane, you couldnt have said it better,got it on the nail!!
 
Kuna tetesi, JK kwenye baraza jipya la mawaziri huenda Sophia Simba akachukua nafasi ya Pinda kwenye Uwaziri Mkuu!

Mkuu Masanilo heshima mbele.

JK hawezi kuwa mjinga kiasi hicho,wizara aliyonayo tayari kaonyesha kupwaya kwa kiwango cha kutisha.
Huyu mama anatakiwa kupimwa akili kama Mzee Samwel malecela alivyomshauri.
 
Nadhani muda si mrefu kibarua cha huyu mama kitaota!

I doubt! The kind of audacity and confidence this mama is displaying clearly shows that there is a heavy backing behind her. Haiwezekani akamtukana Malecela kirahisi, kuna kitu kizito zaidi ya tunachokiona.
 
Kuna watu hapa US wanabisha kwamba Balali amekufa. Wanasema waliitwa kwenye ibada Kanisani,lakini casket haikufunguliwa,na hawakualikwa kwenye mazishi.
Lakini labda,hii stiry,kwamba Balai hajakufa ni far fetched.
Lakini mke wa Mgonja yupo hapa Long Beach,Califonia,amenunua gari la kifahari,anaishi vizuri sana,labda vizri kupita kiasi.
Nasikia,sijamuona lakini,kwa sababu mimi nipo hapa hapa.Long Beach,California.
 
Kuna watu hapa US wanabisha kwamba Balali amekufa. Wanasema waliitwa kwenye ibada Kanisani,lakini casket haikufunguliwa,na hawakualikwa kwenye mazishi.
Lakini labda,hii stiry,kwamba Balai hajakufa ni far fetched.
Lakini mke wa Mgonja yupo hapa Long Beach,Califonia,amenunua gari la kifahari,anaishi vizuri sana,labda vizri kupita kiasi.
Nasikia,sijamuona lakini,kwa sababu mimi nipo hapa hapa.Long Beach,California.

...nilikuwa hapo LBC....last year and sometimes before ..kwenye post zangu nyuma hata kabla ya hizi kesi nilishamuongelea maisha anayoishi ...huyo dada hapo LBC...NIKASEMA KUWA ATAKUJA KUMPONZA MUMEWE and that is exactly what happened....kwa wanaomjuwa mgonja wanasema huko nyuma amaitumikia serikali kwa uadilifu mkubwa na amekaa pale hazina muda mrefu sana.....baada ya kuondoka RAFAEL MOLLEL na PETER NGUMBULU....
Tatizo kubwa limekuwa mkewe na watu wengi wanafikiri hata tabia ya MGONJA kubadilika ghafla na kuanza udokozi kwa kiasi kikubwa ilianza mwishoni mwa utumishi wake ..na ilichochewa na matumizi ya mkewe na familia yake iliyoko marekani...kwani mkewe anaishi maisha ya ki superstar hapo....na hana kazi ya maana zaidi ni just a nurse..so mzee ilibidi awe anatuma mapesa mengi..huko ...kuwa support na kuwanunulia properties....
NAFIKIRI intelligensia yetu huwa imelala....

wanasema behind the successfully man is a woman....nafikiri behind the fisadi man is a woman as well.....kwa kipato cha mgonja mkewe angekuwa hapendi makuu ..kilikuwa kinamtosha sana...na angeishi maisha ya raha mustarehe kama wenzake makatibu waliopita pale hazina....
 
Tafuta kwenye google.... kuna zaidi ya lugha sabini mle ikimewo Kiswahili. At the end of day Mwanakijiji akapimwe akili Mirembe ama Kidongo chekundu na huyo Simba

kuna hospitali ya vichaa pale muhimbili ipo karibu na baharesa na restaurant ya maafudhi.
ukipita pale ukiita kibunango utasikia mtu anaitika na anachungulia, ukiita Sofia ataitika mtu tena mwanaume na atachungulia na kukujibu, jina lolote lile mtu anatika na kuchungulia...
 
I doubt! The kind of audacity and confidence this mama is displaying clearly shows that there is a heavy backing behind her. Haiwezekani akamtukana Malecela kirahisi, kuna kitu kizito zaidi ya tunachokiona.

Na hii 'backing' unayoiongelea hapa mkuu ndo hiyo imempa Uenyekiti wa UW-CCM. Ni support nzito sana, na mjadala wake upo hapa. Muulizeni Janeth Kahama, anaijua vema backing hii.
 
Wana ndugu nimesoma gazeti la tanzania daima leo nimeshtuka sana baada ya kupaata mfadhaiko yale yaliokuwa ndani mwake pale mama sophia simba waziri wetu tunaemtegemea kwenye uongozi bora anaposema hakuna asie fisadi kwenye chama cha majambazi...hakika najuta kupigiia kura shishiem akiamungu...bado nahisi nimesoma thread nyingi zimeshamwasha huyu mama jamani naomba tukae chini tuangalie na huyu rais wetu anaeteua hawa watu kisa tu ama amesoma nae ama alimpa kitu fulani ujanani...tufungue mawazo ya huyu rais kwanza kabla ya kummaliza kwa huyu bibie...nimeamini kweli yawezekana ana maradhi yanamsumbua

Huo ndio ukweli wenyewe!!!!! Hicho ni chama cha mafisadi, hajakosea hata kidogo!!!! Na akili zake ni timamu.

Tiba
 
Mwenendo mbaya wa Sofia Simba katika uongozi wa ofisi ya utawala bora ni aibu kwa JK ambaye uteuzi wake wa baraza la mawaziri haukujali uwezo wa mtu bali upendeleo na urafiki. Kama Mh. Rais Kikwete anahisi aibu basi ni fundisho kuwa alifanya makosa katika uteuzi wake. Japo Malecela, Mengi na Kilango hawakuwa wazi kuhusu Simba, matamshi ya Simba yanamwonesha kuwa hakufaa kuteuliwa kuwa waziri. Ni aibu kwa mteule wa Rais kufurusha maneno yasiyofaa kwa mama Macecela eti hakufaa kuolewa na Malecela katika kikao cha kiofisi.
 
I have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.

I even wonder how the president thinks?
 
JK asipomuondoa Sofia Simba kutokana na kashfa hii atakuwa amejishushia hadhi kwa kiasi kikubwa sana. This is incredible!
 
JK asipomuondoa Sofia Simba kutokana na kashfa hii atakuwa amejishushia hadhi kwa kiasi kikubwa sana. This is incredible!

Its no wonder kama hatamwondoa, na siamini kama atathubutu kufanya hivyo...!, unadhani akijaribu ataachwa hivihivi na akina RA?...WATAMMEZA!
 
I have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.

I even wonder how the president thinks?
KWELI MAGEZI(has no status)UMENENA JAPO UMEFIKA MBALI SANA KWA DEVALUATION YA MH WAZIRI SIMBA,
EEEEEEEEEH,HAYA NDO MAMBO YA KUANGALIA BW. JK PINDI TUTAKAPO MUONGEZEA MIAKA MINGINE 5.
HIVI JAMANI KUTEUA MTU KUWA WAZIRI KUNAHITAJI PHD?KUMJUA YUPI ANAFAA NA YUPI HAFAI,HEBU TUWE WAZALENDO WA KWELI VIONGOZI WA KIAFRIKA.
 
Back
Top Bottom