Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

wewe bwana kwa muda mrefu kila post mbili basi moja ni jk au familia yake kuishambulia.kulikoni?
una maana janet alikuwa na cv kali kuliko simba? Nakuuliza hivi jk alifanya nini?

BURUDIKA NA WIMBO WA DR .REMMY ONGALA.....Karola....

.....karola eeh..karola..karola eeh..

ukiwa na roho mbaya ..kila kitu utasema unaonewa...

ukiwa na roho mbaya hata utakokwenda nako ni pabaya...

ukiwa na roho mbaya kweli tutakuogopa..

ukiwa na pesa nyingi husahau hata wandugu zako..

kweli walimwengu hawana wemaa ...mola awape nini...!!!
 
Kama wewe ni mpenzi, mfuasi ama mwanachama wa CHADEMA nakushauri usinichokonoe.......

Najitahidi sana kujizuia hapa nilipo.

omarrilyas

Unamtisha nani Omar? Unadhani mimi ni wale viongozi wa chadema unaowatukana hapa kila siku.

Leta ulichonacho mkuu. Huna jipya.
 
Until his latest press showdown, I thought Mengi could have been either of the following:
1. a total idiot. why? because if he thinks JK & co are clean and steadfast against "fisadi's", then he has lost IT
2. a very smart and shrewd character and has got a secret weapon to hit at and down JK & co at the opportune time before 2010. why? because he believes JK & co a bunch of ****** and they have no slightest idea the difference between a monday morning and a friday afternoon!

Conclusion after this PC.........Mengi is nothing but the biggest IDIOT of all rich people I know in this country!!!

Ha ha ha,

Jamani lugha za watu hizi. Ukiona mtu anayemwita mengi kuwa ni the biggest idiot of ..... anachoandika (kwa kudhani kuwa anaandika kiingereza), itabidi ujiulize nani ni idiot hapa. Mengi au anayemuita Mengi kuwa ni idiot.
 
ambaye ilibidi auze ile nyumba kwa harara ya dola laki 8!

mpaka leo sista J hajarecover


sindiyo furaaha yenu mtu akianguka....mnapenda mabaya kwa wengine..kama mlivyowachafua watu kote mliopeta na ushuzi wenu....sasa mkitendwa mnaunda eti tume ya kuchunguza chanzo cha makundi wakati jibu mnalijuwa chanzo ni MUTANDAWOOOOO...

mkitaka kumjuwa mnafiki siku ile alipoongea na wananchi live alituambia kuwa Mkapa pia yume kwenye hii kamati ya usuluhishi...wakati NEC iliwateua kinana,mwingi na msekwa.....what was the motive behind kutuambia mkapa was included wakati si kweli..wenye akili za haraka haraka watakuwa wamenielewa hapo!!!..sina ufafanuzi....

mnauliza ****** ya ngombe wakati mkia mmeuchikilia...!! non sense..na unafiki!!
 
Leo Mzee Mengi kakutana na waandishi wa habari (dakika chache zilizopita) na hiki ndicho alichoongea:

TAARIFA YA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LTD. BW. REGINALD A. MENGI KWA VYOMBO VYA HABARI
6 NOVEMBA, 2009

_____________________________________________​



Ndugu Waandishi wa habari,

Nimewaita hapa leo kuzungumza nanyi kwa lengo la kuweka rekodi sawa.

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikituhumiwa na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba mimi si Mwanachama wa Chama hicho na kwamba sitoi misaada ya hali na mali kwa Chama Cha Mapinduzi.

Ndugu Wanahabari,

Kwa msemo wa kiingereza “Don’t argue with a fool because people may not know the difference between you and the fool”, wenye maana kwamba usibishane na mjinga kwa sababu watu wanaweza kushindwa kufahamu tofauti yako na huyo mjinga!

Hata hivyo wakati mwingine inakulazimu kujibu hoja unapomwona mtu anapotosha mambo kwa makusudi.

Kwanza, kuhusu kuropoka kwamba sitoi misaada kwa CCM, hilo ni jambo linalozushwa na watu binafsi na kwa malengo binafsi. Viongozi wakuu wa CCM ambao ni waadilifu na wanaosimamia ukweli wanajua undani wa jambo hili.

Pili, kuhusu uwanachama wangu wa CCM:

Napenda kuwaambia kwamba mimi ni Mwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi yangu ni Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.

Hivyo basi madai yote kwamba mimi si mwanachama au nilijiunga na chama hivi majuzi kama inavyoelezwa na Mheshimiwa Waziri wa Utawala Bora Sophia Simba, Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Shaaban Kilumbe Ng’enda na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM John Guninita ni uongo, uzushi na umbea wenye lengo la kudhoofisha juhudi za viongozi wa juu wa CCM na baadhi ya wanachama za kupiga ufisadi vita.

Mimi na wenzangu wengine tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba chama chetu kinaongozwa katika misingi yake ya asili ya kupiga vita rushwa na maovu mengine.

Ndugu Wanahabari,

Hawa wanaodai kuwa ndani ya CCM hakuna kiongozi msafi ni wazi kwamba wamedandia chama hiki hivi majuzi. Ningetoa ushauri kuwa waondoke na watuachie chama chetu kwa kuwa hawafahamu msingi imara wa CCM.

Mwisho napenda kumshauri Waziri Sophia Simba kwamba katika vita dhidi ya ufisadi ni vyema akanyamaza. Kwa sababu yeye si mwadilifu na hivyo hawezi kusimama kupinga vita ya ufisadi.

Aidha, ningemshauri kabla hajazungumza aombe ushauri kutoka taasisi za serikali kama vile usalama wa taifa badala ya kuropoka na kupotosha ukweli wa mambo.

Nawashukuru sana kwa kunisikiliza.


Reginald A. Mengi

MWENYEKITI MTENDAJI, IPP LTD.

Mengi asante kwa kuliweka hili sawa. Wengi tulikujua kama sisi m memba kwa miaka mingi.
Hiki chama na mimi nilijiunga mwaka huo huo ulipojiunga wewe lakini nimeona si rahisi kuwabadilisha viongozi wengi wa sisi m kwa sasa maana waliokiteka sasa chama na kujifanya ni chao na hata kutunga msemo kwamba kina wenyewe ni hao hao wezi, wadhulumati, na majambazi wakubwa.
Wanatumia chama hicho hicho na umaarufu wake wa zamani wao na familia zao na marafiki zao kututapeli na kutuibia. Wanatuonga kwa pesa waliokwiba wakati familia zetu zinateseka kwa shida zinazoweza kumalizika kwa rasilimali
Nilijaribu sana kuona kama kutakuwa na mabadiliko lakini nikagundua uongo na ghiriba zinatawala daima. Kwani ukitaka uandamane nao wewe amua kuwa support kuwa chama chao ni safi na kinajenga nchi wakati ukweli ni kwamba kinabomoa nchi. Nikajiondoa kimya kimya. Sasa niko chama ninachoona angalau kuna kauhai.
Nakushauri na wewe Mengi toka huko. Huwawezi hao. Mwisho wake watakukolimba ili usiwapigie kelele wakati wanakula nchi. Toka haraka. Njoo Chadema tujenge nchi yetu iliyotekwa na manyang'au.

MF
 
Zitto ndivyo alivyo.

Washauri wake wanamwambia kuwa yeye kwa sasa anaongoza kwenye opinion poll ya REDET kwa hiyo yeye ana akili kuliko watu wote Tanzania sasa hivi.

Zitto ana audacity ya kuhoji vitendo vya Mengi wakati yeye mwenyewe wakati wa uchaguzi wa chadema uliopita alivujisha siri za vikao vya ndani vya chadema na akatumia muda mwingi hapa na kwenye vyombo vya habari kuipondea chadema na viongozi wake.

Kwa nini huo ushauri anaompa Mengi asingeutumia miezi michache iliyopita?

Kuna watu mnaboa humu, Solomon David, kila post zako lazima uandike kuhusu Zito?

wewe, mwafrika, masanilo n.k msipoandika kuhusu Zitto mnawashwa? mbona mnajiweka low hivyo , mnahisi inferior? kwa Zitto.

mara Zito, mara Omarlyas, hatuna rekodi wala serikali ya Tanzania hairuhusu ndoa za mashoga! wamewakataa?

ndio nimesema, mnaboa,

jadilini Idea vijana kumsemasema huyu jamaa mnajiweka chini sana

duh

JF imeharibika siku hizi

sio mimi tu, kuna watu wanaboreka na post zenu za hatred
 
Well done mkuu Mengi
Wape maneno yao hao maana wakishaona unakomalia ufisadi wanahaha kukuchafua kwa kila aina ya kashfa.....

Nimeipenda hii konferensi ya leo
 
kama sio north korea or china then let everyone have free speech and mengi should stop using his money kufanya watu wasifanye kazi zao.

Talking from both sides of your mouth.

Everyone should have free speech (sic) wakati huo huo Mengi is excluded.

Nyie ndio watu mnaofikiria money has to rule everyone.. and that is why i said to you, you need to start thinking in a brighter day.. well of course it depends if you really EVEN thinking of maendeleo ya watanzania wasio na chochote

Wewe ndiye umeleta mambo ya pesa hapa. Inaonekana jinsi gani pesa za mengi zinavyokusumbua sana kiasi kwamba huwezi kumuongea mengi bila ya kutaja pesa zake.

Or .... does it depend on ..... anything?
 
Kuna watu mnaboa humu, Solomon David, kila post zako lazima uandike kuhusu Zito?

wewe, mwafrika, masanilo n.k msipoandika kuhusu Zitto mnawashwa? mbona mnajiweka low hivyo , mnahisi inferior? kwa Zitto.

Kwani Zitto ni mungu kwa hiyo haandikwi. Wanaotaka Zitto asiandikwe ndio wako inferior kwa Zitto?

mara Zito, mara Omarlyas, hatuna rekodi wala serikali ya Tanzania hairuhusu ndoa za mashoga! wamewakataa?

Hivi unadhani Zitto akitaka kuoa mwanaume, ataoa wanaompinga au wale wanaomtetea kama wewe?

teh teh teh

ndio nimesema, mnaboa,

jadilini Idea vijana kumsemasema huyu jamaa mnajiweka chini sana

duh

JF imeharibika siku hizi

sio mimi tu, kuna watu wanaboreka na post zenu za hatred

JF inaboa, mara ohhoo watu wanaongelea watu, wakati wewe huyoooo mbele mbele kumwongelea masanilo na mwafrika. Je wamekukataa hawa?
 
Na kwa wewe kusema tu kuwa Mengi kagombana na mawaziri bila kuwataja hao mawaziri na kile ambacho waligombana na mengi, ndiyo inaeleza zaidi vile ulivyo.



Please, if this is what you call english, then, we have a problem. Check your grammar friend, take time to know the language better before you undress yourself this much.

I got no time to DOUBLE CHECK my spelling on what i write in forums.. kama you cant understand what i writethen all i can say dont read.. why are you even bother to read? i am more than suprise why you are very touched by me writing my comments in english rather than content of it!!! are you one of ..........!! i really cant get you mate!!! i got no crue what is your big problem with this!!! you better find a way to take your stress out and not picking up on grammar/spelling mistakes on public forums.. dah kwii kwiiii and why should i waste all my time that could be very productive on other things to summarise some silly Stuffs for you? na mbaya zaidi eti ni mawaziri gani mengi amengombana nao.. maybe someone here will be happy to do that but mate sorry not me.. you can always help a man how to breath but you cant breath for him ( if u cant understand this as well then find dictionary)... by the way i dont give a dum about mengi or Simba? they are all ****** wanaotry all they could to stay and gain power while degrading lives of so many vulnerable people. There are so many problems in tanzania need to be adressed. Its i feel so sad kwamba mpaka leo hii 2009 kuna watu kama nyie Tanzania ambao wanafikiria kama mtu akitoa msaada kwa Political party then inabidi hawaambie uongozi what to do!!! shame on you... and of course ur Mengi and RA.. NA NINASEMA TENA MENGI NI SAWA TU NA RA. TOFAUTI NI KWAMBA MENGI UOVU WAKE UJAANIKWA WAZI WAZI, LAKINI ZA MWIZI NI ARUBAINI SO LETS WAIT AND SEE.. HE CANT FOOL PEOPLE FOREVER..well he did fool me once untill today after his PC...SD keep dreaming mengi is your little hero... kwi kwii.. P.S i am off this conversation..
 
Jammani i am off this silly conversation about Mengi, he had my support previous but not more... SO DONT BOTHER SOLOMON DAVID kujibu my comments kuhusu this topic.. lets debate on another one..God bless you
 
I got no time to DOUBLE CHECK my spelling on what i write in forums.. kama you cant understand what i writethen all i can say dont read.. why are you even bother to read? i am more than suprise why you are very touched by me writing my comments in english rather than content of it!!! are you one of ..........!! i really cant get you mate!!! i got no crue what is your big problem with this!!!

Ha ha ha ...

This just made my day ... or should we say, bright day (sic) - whatever that means?.

you better find a way to take your stress out and not picking up on grammar/spelling mistakes on public forums.. dah kwii kwiiii and why should i waste all my time that could be very productive on other things to summarise some silly Stuffs for you?

Ha ha ha ha,

Keep on giving mate (as you call it).

na mbaya zaidi eti ni mawaziri gani mengi amengombana nao.. maybe someone here will be happy to do that but mate sorry not me.. you can always help a man how to breath but you cant breath for him ( if u cant understand this as well then find dictionary)... by the way i dont give a dum about mengi or Simba? they are all ****** wanaotry all they could to stay and gain power while degrading lives of so many vulnerable people.

I like dums ... please keep on giving dums (sic) mate

There are so many problems in tanzania need to be adressed. Its i feel so sad kwamba mpaka leo hii 2009 kuna watu kama nyie Tanzania ambao wanafikiria kama mtu akitoa msaada kwa Political party then inabidi hawaambie uongozi what to do!!! shame on you... and of course ur Mengi and RA.. NA NINASEMA TENA MENGI NI SAWA TU NA RA. TOFAUTI NI KWAMBA MENGI UOVU WAKE UJAANIKWA WAZI WAZI, LAKINI ZA MWIZI NI ARUBAINI SO LETS WAIT AND SEE.. HE CANT FOOL PEOPLE FOREVER..well he did fool me once untill today after his PC...SD keep dreaming mengi is your little hero... kwi kwii.. P.S i am off this conversation..

I will be here waiting for you mate.
 
Nadhani nita tofautiana na wengi sana lakini sijaona sababu ya Mengi kutoa hii press release. Alicho ongelea yeye ni mambo ambayo ange takiwa akaongelee kwenye vyombo husika vya chama. Kama hiyo ya kuchangia CCM kwa hali na mali so what? Hata kama ana fanya hivyo au hafanyi hivyo ina tusaidia vipi sisi wananchi wa kawaida? Au labda niulize tu hiyo press release ilikua ina lenga audience ipi haswa? Maana yote aliyo sema inaonekana kuhusu chama zaidi kuliko jamii au taifa.

Otherwise namshukuru Mengi kwa mchango wake kwa jamii na vita dhidi ya ufisadi.
 
Kama na yeye sio Fisadi mbona hakurudisha hela zaeu tulizowekeza kwenye NICOL na badala yake amelala mbele bila ya kutupatia tuliowekeza ufumbuzi?

Tena hela zimeliwa na familia yake.

Mengi hana jipya.
 
Kama na yeye sio Fisadi mbona hakurudisha hela zaeu tulizowekeza kwenye NICOL na badala yake amelala mbele bila ya kutupatia tuliowekeza ufumbuzi?

Tena hela zimeliwa na familia yake.

Mengi hana jipya.

Hizo pesa mliziweka na nani? Una uthibitisho wowote? Au na wewe nikuulize zile za pesa za madawati ya mtakuja (sina uthibitisho katika hili) utazirudisha lini?
 
Nadhani nita tofautiana na wengi sana lakini sijaona sababu ya Mengi kutoa hii press release. Alicho ongelea yeye ni mambo ambayo ange takiwa akaongelee kwenye vyombo husika vya chama. Kama hiyo ya kuchangia CCM kwa hali na mali so what? Hata kama ana fanya hivyo au hafanyi hivyo ina tusaidia vipi sisi wananchi wa kawaida? Au labda niulize tu hiyo press release ilikua ina lenga audience ipi haswa? Maana yote aliyo sema inaonekana kuhusu chama zaidi kuliko jamii au taifa.

Otherwise namshukuru Mengi kwa mchango wake kwa jamii na vita dhidi ya ufisadi.

Hilo swali la audience ya Mengi ni la muhimu sana kwenye huu mjadala.
 
Hizo pesa mliziweka na nani? Una uthibitisho wowote? Au na wewe nikuulize zile za pesa za madawati ya mtakuja (sina uthibitisho katika hili) utazirudisha lini?

Una maana gani kuhoji pesa tuliziweka wapi? Kwani wewe hutambui kwamba NICOL iliuza hisa kupitia soko la hisa na akina na NICOL ikachomoa hizo hela kununua kikampuni maiti cha familia ya Mengi na kututia sisi wawekezaji hasara?

Pls fafanua juu ya tuhuma za madawati.
 
Una maana gani kuhoji pesa tuliziweka wapi? Kwani wewe hutambui kwamba NICOL iliuza hisa kupitia soko la hisa na akina na NICOL ikachomoa hizo hela kununua kikampuni maiti cha familia ya Mengi na kututia sisi wawekezaji hasara?

Pls fafanua juu ya tuhuma za madawati.

Hujathibitisha lolote kuwa uliwekeza NICOL na kama Mengi na familia yake walikutia hasara. Habari yako ni udaku tu na haina uthibitisho (kama hiyo ya madawati ya mtakuja).

Ukithibitisha uwekezaji wako NICOL na jinsi mengi alivyokusababishia hasara, na mimi nitathibitisha jinsi ulivyotumbua pesa za madawati ya shule ya msingi mtakuja (na pia nitakuthibitishia kuwa raisi wa irani ni mkatoliki).
 
Back
Top Bottom