Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,180
- 149
Kilango anasema madai ya mama simba yapo muda mrefu...sasa hatujuwi,aseme yeye ni lini walianza kushirikiana na fisadi papa Jeetu Patel na nani alianza kuwa mshikaji kati yake yy na mumewe.Kwa hiyo mama simba ni insane?
Hiyo "criminal responsibility" ya mama simba imeanza leo au kwa muda sasa