Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Narudia tena kusema Mh. Rais ana kigugumizi kuwawajibisha kina Hosea na wengineo kwa vile anajua wataumbuana kama alivyosema Hosea "....kama ni kuumbuana hata mimi naweza sana".
Sasa waacheni waumbuane, wafitiniane, wafichiane maovu; mwishowe tuwatoe kama wote wanaogopana. Watanzania, muda umefika tuchague chama kingine ili tujue mengi waliyoyaficha kwa kulindana na kuogopana; kumekucha! Kususia uchaguzi siyo suluhisho la matatizo yetu, ufumbuzi uko kwenye maamuzi yetu wenyewe!
 
Ni makosa kufikiri Sofia Simba anasema maneno yake mwenyewe.Sofia Simba ni waziri wa serikali, na kwa kadiri ninavyofuatilia habari hii serikali haijatoa tamko lolote kukanusha matamshi aliyotoa Sofia Simba.

Interpretation: Sofia Simba katumwa na serikali ya Kikwete kusema maneno haya.Sofia Simba katumwa na Kikwete kusema maneno haya.

Kufikiri kwamba Kikwete, as much of a cocoon as he is in, as criminally loyal to his goons as he is, atamuwajibisha Simba ni ndoto. The only way Kikwete atamuwajibisha Simba ni kama kutakuwa na public backlash kubwa, kama ilivyotokea kwa Chenge.Otherwise Sofia Simba atapeta tu.
 
Serikali ya Ze comedy ndo matokeo yake hayo.

Wanaongoza kwa hisia na si fact. kikubwa zaidi wanashindana na fikra za umma wakidhani wanawakilisha umma
 
tumekwisha watanzania tunaongozwa na kikundi cha wahuni wasiokuwa na mbele wala nyuma shame on kikwete
 
I have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.

I even wonder how the president thinks?

sasa umalaya wake unahusikaje hapa?punguzeni munkari jamani..
 
Ikiwa kila kukicha tunawalaumu wafanya biashara wakubwa kujiingiza kifedha ktk siasa hasa ktk vyama vya tawala kwamba wanaingia huko kwa faida zao kama kupata tenda, kusamehewa madeni na kufanya bishara kiulaini
sasa tunasikia kwenye magazeti kwamba mh Mengi anasaidia Chama Tawala mamimilion ya kifedha huku na huku tukitaka matajiri wawe mbali na Chama Cheu tawala.

Ina maanisha kwamba na yeye ni fisadi kama walivyo wenzie wa CCM
 
Asipoondolewa huyu dada, pia heshima ya Idara ya Usalama itashuka!!! Kwa kuwa zaidi ya Rais, Idara ya Usalama inauwezo wakusema huyu sie mzee JK.
 
Ikiwa kila kukicha tunawalaumu wafanya biashara wakubwa kujiingiza kifedha ktk siasa hasa ktk vyama vya tawala kwamba wanaingia huko kwa faida zao kama kupata tenda, kusamehewa madeni na kufanya bishara kiulaini
sasa tunasikia kwenye magazeti kwamba mh Mengi anasaidia Chama Tawala mamimilion ya kifedha huku na huku tukitaka matajiri wawe mbali na Chama Cheu tawala.


1.Thread yako haijatulia sana.

2.Sioni tatizo na Mengi kutoa msaada kwa chama chochote kile cha chaguo lake, maana ubovu wa chama ni wanachama (mmojammoja) na si chama as an entity!

3.Misaada ya Mengi kwa chama au taasisi yoyote nijuavyo mimi haina lengo la kusamehewa kodi au kupewa tenda fulani...He is just a succesful businessman, na tusikwepe ukweli huo!

4.Mti uzaao matunda ndio utupiwao mawe...Always!
 
bado nashangaa bado tu JK hajasign barua yakumfukuza kazi waziri Simba, aah siamini. kama JUmatatu ataingia ofisini salama anabahati huyu, nahakika kwa kushindwa kumfukuza kazi huyu mama , ni ishara ya kubebana na kuoneana haya , hii ndio tabia ya CCM.
lAKINI HUYU MAMA ELIMU YAKE IMEKAAJE, YAANI wakati mwingine upeo wake unaathiriwa na ukosefu wa uelewa wa mabo kwa mapana yake, na kama am=naelimu nzuri basi nitaamini kuwa pesa hupofusha macho....hivi vijisenti vya kuhongwa na kina RA.
 
KWELI MAGEZI(has no status)UMENENA JAPO UMEFIKA MBALI SANA KWA DEVALUATION YA MH WAZIRI SIMBA,
EEEEEEEEEH,HAYA NDO MAMBO YA KUANGALIA BW. JK PINDI TUTAKAPO MUONGEZEA MIAKA MINGINE 5.
HIVI JAMANI KUTEUA MTU KUWA WAZIRI KUNAHITAJI PHD?KUMJUA YUPI ANAFAA NA YUPI HAFAI,HEBU TUWE WAZALENDO WA KWELI VIONGOZI WA KIAFRIKA.

Ebo! we vipi ndugu?
Miaka mitano mingine tena hata kabla ya uchaguzi? Uongozi wa nchi haupashwi kutolewa kama zawadi; watanzania wanapaswa kujua na kuchagua kiongozi mweneye uwezo wa kuongoza. Huyu bwana keshashindwa, wewe, wakati ukilalama kuwa kashindwa, bado unashindwa kutimiza wajibu wako wa kumpata kiongozi mwingine mwenye uwezo badala yake unajiandaa kutoa zawadi; nyongeza ya miaka mingine 5.
Think about the change we embrace all.
 
ni aibu pia kwa Tanzania kuongozwa na rais kama JK
 
Asipoondolewa huyu dada, pia heshima ya Idara ya Usalama itashuka!!! Kwa kuwa zaidi ya Rais, Idara ya Usalama inauwezo wakusema huyu sie mzee JK.

kwani toka lini hiyo idara imekuwa na heshima?labda wakati wa Nyerere
 
inamaanisha kuwa yeye ni mwanachama wa CCM
 
inamaanisha yeye ni mwanachama mwenye mapenzi kwa chama chake na anakichangia kizidi kudumu madarakani sio kama wanachama wengine ambao ni kama mashabiki hawakichangii chama,
btw hivi ni mengi tu ambaye anakichangia chama cha siasa?
wafanyabiashara wangapi wanachangi vyama vya siasa?au kwakuwa hao hawajatangaza?na wanaogopa nini kutangaza kwamba wao ni wadhamini au wachangiaji wa chama?
mimi binafsi ningependa[na ningefurahi]kuona tunafika mahali vyanzo vya mapato ya vyama vya siasa vinakuwa wazi,kwa mfano tu tujue kampeni ya chama flani cha siasa katika uchaguzi ilitumia kiasi gani?na zilitoka kwa akina nani?
 
Ebu angalia mjadala huu unavyoiba credibility za watu

Huyu jamaa akishundwa hoja huwa anatukana au anazusha!
sijaona mpaka kufikia sehemu ya kutoa matusi


hawa ndio CCM wapiganaji wa tabia za malecela, wanaokula na kuzaa na mafisadi, eti wanawakana

unafiki huu

usihangaike kujibu , sina tabia ya kujibu wajinga kama wewe, afadhali solomon david angalau ana upeo hata wa kujiita shoga


- Mkuu toka juzi hii ishu ipoanza umehangaika sana kutafuta njia ya kuugeuza huu mjadala kuwa wa mtaani badala ya hoja muhimu kwa taifa na wananchi wake, sasa uamuzi ni wako ukitaka tunaweza kuujadili huu mjadala kwenye level ya shule, au hii lugha za mtaani unazoonekana kuzipenda zaidi, ukitukana majibu yako very clear utatukanwa,

- CCM ni chama cha siasa chenye makundi, kuna wapiganaji na mafisadi, mafisadi wote wanaofahamika ndani ya CCM kuna ushahidi wa kutosha kuwafunga jela, kuna kundi la wapiganaji ambao mafisadi wanadai nao ni mafisadi, lakini wanashindwa kuonyesha ushahidi kama ambao umeonyeshwa against wao,

- Maneno ya Sohpia ni mazuri kwa kuuza magazeti na udaku wa mtaani, lakini on a serious politics hayana faida yoyote kwa taifa, you know that ndio maana ukaamua kuugeuza huu mjadala uwe wa kimtaani sasa unalia nini mkuu, simama ubebe msalaba wako, nilitaka ujue tu kwamba hizi lugha zako za hovyo hutishi mtu hapa JF!

- Malecela hana sababu ya kumjibu kichaa, kwamba nani walichangia harusi yake na nani hakuchangia kwani sheria ya jamhuri inasema nini kuhusu michango ya harusi?

- Na sheria ya jamhuri inasema nini kuhusu michango ya kampeni za urais? Sasa kwa nini unashindwa kuelewa kwamba huyu Sophia ni kichaa, kwa sababu sheria ya jamhuri iko wazi kuhusu ufisadi wa Lowassa na Rostam anaowatetea, halafu mbona hakusema kwamba Lowassa na Rostam walichangia ile harusi huku wakiwa ni proven mafisadi?

- Sophia anatakiwa kuthbitisha kwanza Jeetu ni fisadi, and then atuambie taifa kwa nini hajamfikisha kunakotakiwa Segerea akiwa kama waziri wa Takukuru, ndio maana mkuu Sophia anakuwa kichaa for what she did kwa sababu what is here to be answered mkuu uamuzi ni wako ukitaka kujadili hoja sawa, na ukitaka matusi poa!

Respect.


FMEs!
 
Nadhani muda si mrefu kibarua cha huyu mama kitaota!


Kiote kwa misingi ipi..kwa kuwa kasema malecela kapokea 200m kwa Jeatu? Mengi hana la maana analoongea hapa


Mnajua hicho cheo kakipataje?, hapo ndo ujue kitaota au hakioti.

Maana kwa utumbo wote huuu (kama ni kweli anaongea hivyo na si vyombo vya habari) asingekuwepo ofisini mpaka sasa... ONLY IN TZ!!
 
- Maneno ya Sohpia ni mazuri kwa kuuza magazeti na udaku wa mtaani, lakini on a serious politics hayana faida yoyote kwa taifa, you know that ndio maana ukaamua kuugeuza huu mjadala uwe wa kimtaani sasa unalia nini mkuu, simama ubebe msalaba wako, nilitaka ujue tu kwamba hizi lugha zako za hovyo hutishi mtu hapa JF!

- Malecela hana sababu ya kumjibu kichaa, kwamba nani walichangia harusi yake na nani hakuchangia kwani sheria ya jamhuri inasema nini kuhusu michango ya harusi?

- Na sheria ya jamhuri inasema nini kuhusu michango ya kampeni za urais? Sasa kwa nini unashindwa kuelewa kwamba huyu Sophia ni kichaa, kwa sababu sheria ya jamhuri iko wazi kuhusu ufisadi wa Lowassa na Rostam anaowatetea, halafu mbona hakusema kwamba Lowassa na Rostam walichangia ile harusi huku wakiwa na mafisadi?

- Sophia anatakiwa kuthbitisha kwanza Jeetu ni fisadi, and then atuambie taifa kwa nini hajamfikisha kunakotakiwa Segerea akiwa kama waziri wa Takukuru, ndio maana mkuu Sophia anakuwa kichaa for what she did kwa sababu what is here to be answered mkuu uamuzi ni wako ukitaka kujadili hoja sawa, na ukitaka matusi poa!

Respect.

FMEs!


Mkuu una maana JK ana mawaziri vichaa kwenye baraza lake?.. LOL

On a serious note, huyu mama aliupataje uwaziri, ninaaamini kabebwa huyu si bure.
 
Back
Top Bottom