Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Kwa upande mmoja, kiongozi akipokea mchango mkubwa sana kwa ajili ya kitu kama kampeni au sherehe inakuwa ni kupokesa rushwa. Atawapendelea hao waliotoa. Hilo liko duniani kote. Mchango wa milioni 200 sio mchango ni ununuzi.

Kwa upande wa pili, lazima tujue Simba alipakua tu. Kilipikwa juu na kikundi, kisha yeye akawa na kazi ya kwenda kupakua. Hangeweza kusema hivyo bila kutayarishwa.
 
Ops bas ilikuwa uzushi tuu asante kwa taarifa kasomea chuo nini vile msaada pulizi!!!
 
Haya yote ni matatizo ya wanawake ambao hawajaolewa...hufikia muda wakaacha kufikiri na akili zao, depression huja na mengi.
 
Haya yote ni matatizo ya wanawake ambao hawajaolewa...hufikia muda wakaacha kufikiri na akili zao, depression huja na mengi.

Mkandara, sidhani kama kuna ukweli kuwa ni matatizo ya wanawake wasioolewa. Mimi nimeolewa, na ninawafahamu wanawake wengi ambao hawajaolewa, tena wa umri mkubwa kuliko Sophia na hawafanyi hivyo vituko anavyofanya. na pia kuna wamama wengi walioolewa wanafanya upuuzi huo huo. huyo mama ana matatizo yake binafsi, na pia tuangalie kakulia wapi, ana marafiki gani, n.k. wamama wengi wa kiswahili (sina maana ya washamba) wana tabia hizo
 
Kwa upande mmoja, kiongozi akipokea mchango mkubwa sana kwa ajili ya kitu kama kampeni au sherehe inakuwa ni kupokesa rushwa. Atawapendelea hao waliotoa. Hilo liko duniani kote. Mchango wa milioni 200 sio mchango ni ununuzi.

Kwa upande wa pili, lazima tujue Simba alipakua tu. Kilipikwa juu na kikundi, kisha yeye akawa na kazi ya kwenda kupakua. Hangeweza kusema hivyo bila kutayarishwa.

na yeye hakutumia akili kukubali kwenda kupakua sumu hadharani (kama kweli alitumwa kupakua). mtu mwenye busara, hata kama unatumwa na babako kwenda kumdhuru mtu unafikiria prons and cons za kufanya hivyo, sio unaenda tu sababu umetumwa. na hatuwezi kuwalaumu hao wengine sababu hatujui kama wanaexist au la! huwa tunasema "aliyeshikwa na ngozi ndo mla nyama"
 
kwa hiyo nani anelekea kushinda na kukonga nyoyo za wapuuzi (watanzania) katika haya makundi mawili?
Mkuu,
Watanzania si wapuuzi,tatizo wana kamba imewazonga vibaya, kila wakijaribu kutafakari wapi waanze kujizongowa na mazonge na mzongemzonge huo,kuna kitu kinakazia fundo la mwisho, kwa hiyo kamba haizongoki na kila siku watanzania wanaendelea kuwa katika mzonge huo. CCM ni kamba iliyowazonga vibaya watanzania, wakati CCM kama chama na sera na miongozo yake kimeshindwa kwa miaka 45 kuleta mabadiliko ya maana katika hali na maisha ya mwananchi wa kawaida,kuna viongozi ndani ya chama hicho wanajidai kuwadanganya watanzani kuwa eti hali si hiyo(kuwa CCM haina uwezo tena kuongoza),bali kuna kundi la mafisadi ndani ya CCM, bila kuwa wakweli kuwa mfumo na muundo wa chama ni wa kiwizi wizi,kuanzia namna ya kupata viongozi wa chama mpaka wa kitaifa ni mipango mipango tu ya kufungafunga na kupenyezanapenyezana.Watanzania wakielekezwa palipo kosewa na kuanza kuelewa, panazuka hoja na kundi la watu kutoka huko huko CCM wakijidai eti wao ni vinara wa kupambana na ufisadi, huku wakificha unafiki wao na undumilakuwili wao kwa watanzani,kwa alama zao utawajuwa, siku zote wanatafuta huruma za wananchi eti kama kweli vile kuwa kelele wanazopiga ni kwa ajili ya wananchi wananyonge,huku wakificha dhamira zoa chafu. Eti ni majemedari wa vita zidi ya ufisadi, kwa sera ipi,mfumo upi,utaratibu upi,ari ipi,maadili yepi ambayo ni kinyume na ubovu wa CCM katika hayo yote...wao wanaoutegemea?
Na kwa kuonyesha kuwa CCM haiishi katika imani hizo na misimamo hiyo ya hao wanaojinadi kupinga ufisadi, tumeshuhudia sote jinsi walivyopata upinzani ndani ya chama chao na wao wenyewe kuanikwa uovu wao,unafiki wao na dhamira zao chafu kwa watanzania. Hali kama hii waliishi nayo ndugu zetu wa Kenya, wakiamini kuwa KANU si tatizo,tatizo eti ni viongozi baadhi tu wanaokichafua...kumbe hata hao waliokuwa wakipiga makelele ndani ya KANU kuwa kuna ufisadi na wakakosana na Mzee Moi,wenyewe hawakuwa wasafi na maovu yao yakaanikwa kwa staili hiyo hiyo mama Simba na wengine walivyoanika ndani ya CCM,wananchi wakabaki wasiamini nani anasema kweli, nani anatetea kwa niaba yao. Baade,kipindi tena wakajuwa kuwa tatizo si nani wala nani. Tatizo ni KANU imechoka na haina jipya la kuwafanyia Wakenya...kilichofuatia unakijuwa.
Sasa hapa tatizo si nani anasema kweli kati ya Mama sophia na hao majemedari wanafiki wa vita vya ufisadi, kwakuwa wote wanalinda kama si nyongo basi maini ya matumbo yao tu na si ya watanzania.Tatizo ni CCM yote,kama KANU, kuwa imeshachoka na inahitaji kupumzika, na wanaoweza kuipumzisha ni watanzania wenyewe,hawezi kuja malaika kuleta mabadiliko, wakati umefika kusahau kuwa CCM hii ndo TANU ile iliyoleta uhuru, CCM ndo chama kile alichokiacha Nyerere,CCM hii ndo chama kile kinachongojea tu miaka 47 kuondoa maradhi,njaa na ujinga wa watanzania. CCM hii si ile tena...watanzania wataendelea kupigwa danadana ya kutafuta nani mkweli nani muongo katika kundi la watu waongo wanaoishi kuwachanganya akili watanzani kila kukicha.
CCM IMECHOKA WATANZANIA IPUMZISHENI...HAKUNA ATAKAKE LALA NJAA KAMA KESHO CCM ITAKUWA BENCH,IKITAZAMA MECHI...
WAZAMBIA wanaendelea na maisha bila ya UNIP, wa Kenya wanaendelea na maisha bila ya KANU...Waghana,Wasenegal,Malawi n.k wote hawa wanaendelea na maisha yao bila ya vyama hivi vilovyoleta ukombozi,watanzania wanasubiri nini...au VICHWA VYAO HAVIFIKIRI na matumbo yao (wanyonge si mafisadi) hayana njaa ya mabadiliko?
 
Rule number 5; Try to calm down and make friendship even if it is hard to do so

Hii post yako ya sasa hivi haiko harsh; are you changing?

Lets see at the end you gonna be my friend for sure

wait and see

Ha ha ha

Wamemaliza wapumuliaji?
 
Sikonge,Solomoni kanifurahisha sana,watu wanasema Sofia ni mtoto wa mjini! Kwa hiyo akiwa wa mjini ndio watu wasiseme lol! Ni kwa jinsi anavyomwaga maneno huyu Bi dada Sofia ni sawa na kumwagiwa maji ya ukoko kwa Mfuga mbwa!

Ngoja nicheck.

kwi kwi kwi

Na wala sio ukoko tu, hadi masizi na makapi ya nguruwe.
 
Mkuu,
Watanzania si wapuuzi,tatizo wana kamba imewazonga vibaya, kila wakijaribu kutafakari wapi waanze kujizongowa na mazonge na mzongemzonge huo,kuna kitu kinakazia fundo la mwisho, kwa hiyo kamba haizongoki na kila siku watanzania wanaendelea kuwa katika mzonge huo. CCM ni kamba iliyowazonga vibaya watanzania, wakati CCM kama chama na sera na miongozo yake kimeshindwa kwa miaka 45 kuleta mabadiliko ya maana katika hali na maisha ya mwananchi wa kawaida,kuna viongozi ndani ya chama hicho wanajidai kuwadanganya watanzani kuwa eti hali si hiyo(kuwa CCM haina uwezo tena kuongoza),bali kuna kundi la mafisadi ndani ya CCM, bila kuwa wakweli kuwa mfumo na muundo wa chama ni wa kiwizi wizi,kuanzia namna ya kupata viongozi wa chama mpaka wa kitaifa ni mipango mipango tu ya kufungafunga na kupenyezanapenyezana.Watanzania wakielekezwa palipo kosewa na kuanza kuelewa, panazuka hoja na kundi la watu kutoka huko huko CCM wakijidai eti wao ni vinara wa kupambana na ufisadi, huku wakificha unafiki wao na undumilakuwili wao kwa watanzani,kwa alama zao utawajuwa, siku zote wanatafuta huruma za wananchi eti kama kweli vile kuwa kelele wanazopiga ni kwa ajili ya wananchi wananyonge,huku wakificha dhamira zoa chafu. Eti ni majemedari wa vita zidi ya ufisadi, kwa sera ipi,mfumo upi,utaratibu upi,ari ipi,maadili yepi ambayo ni kinyume na ubovu wa CCM katika hayo yote...wao wanaoutegemea?
Na kwa kuonyesha kuwa CCM haiishi katika imani hizo na misimamo hiyo ya hao wanaojinadi kupinga ufisadi, tumeshuhudia sote jinsi walivyopata upinzani ndani ya chama chao na wao wenyewe kuanikwa uovu wao,unafiki wao na dhamira zao chafu kwa watanzania. Hali kama hii waliishi nayo ndugu zetu wa Kenya, wakiamini kuwa KANU si tatizo,tatizo eti ni viongozi baadhi tu wanaokichafua...kumbe hata hao waliokuwa wakipiga makelele ndani ya KANU kuwa kuna ufisadi na wakakosana na Mzee Moi,wenyewe hawakuwa wasafi na maovu yao yakaanikwa kwa staili hiyo hiyo mama Simba na wengine walivyoanika ndani ya CCM,wananchi wakabaki wasiamini nani anasema kweli, nani anatetea kwa niaba yao. Baade,kipindi tena wakajuwa kuwa tatizo si nani wala nani. Tatizo ni KANU imechoka na haina jipya la kuwafanyia Wakenya...kilichofuatia unakijuwa.
Sasa hapa tatizo si nani anasema kweli kati ya Mama sophia na hao majemedari wanafiki wa vita vya ufisadi, kwakuwa wote wanalinda kama si nyongo basi maini ya matumbo yao tu na si ya watanzania.Tatizo ni CCM yote,kama KANU, kuwa imeshachoka na inahitaji kupumzika, na wanaoweza kuipumzisha ni watanzania wenyewe,hawezi kuja malaika kuleta mabadiliko, wakati umefika kusahau kuwa CCM hii ndo TANU ile iliyoleta uhuru, CCM ndo chama kile alichokiacha Nyerere,CCM hii ndo chama kile kinachongojea tu miaka 47 kuondoa maradhi,njaa na ujinga wa watanzania. CCM hii si ile tena...watanzania wataendelea kupigwa danadana ya kutafuta nani mkweli nani muongo katika kundi la watu waongo wanaoishi kuwachanganya akili watanzani kila kukicha.
CCM IMECHOKA WATANZANIA IPUMZISHENI...HAKUNA ATAKAKE LALA NJAA KAMA KESHO CCM ITAKUWA BENCH,IKITAZAMA MECHI...
WAZAMBIA wanaendelea na maisha bila ya UNIP, wa Kenya wanaendelea na maisha bila ya KANU...Waghana,Wasenegal,Malawi n.k wote hawa wanaendelea na maisha yao bila ya vyama hivi vilovyoleta ukombozi,watanzania wanasubiri nini...au VICHWA VYAO HAVIFIKIRI na matumbo yao (wanyonge si mafisadi) hayana njaa ya mabadiliko?

Kwa hiyo mama simba akapimwe akili wapi - mirembe au kidongo chekundu?
 
Huu mjadala una manufaa makubwa sana kwa taifa hili, hususan kwa vizazi vijavyo. Vizazi vya sasa nina mashaka makubwa kama vinaliangalia tatizo ktk dimension inayotakikana, na hivyo sitegemei kama kuna watakalojifunza.

Mitanzania bado sana.
 
[QUOT]

- Tatizo ni kwamba wewe siku zote una tatizo na mimi na this time nataka kulimaliza mkuu yaani I am willing kwenda na wewe mpaka kusikofikika na ikibidi nitamfunua mpaka mkeo mbuzi wewe, ninasema hivi Sophia ni changadoa ninajua kwamba ni dini yako ndio maana unalia sana lakini ameanza mwenyewe, mwendawazimu ni wewe na huyu Sophia wako,

- Asingekua basi angekwenda kwenye kamati kwanza kuonyesha ufisadi wa Jeetu kwa ushahidi na mzee na mkewe ili wakamatwe mara moja, otherwise, ninasema ni changudoa, na mw9izi wa waume za watu ameanza na Kitwana kondo mpaka kuzaa naye yule mtoto aliyeko Canada, now briing it on kama you have a problem!

Field Marshall Es!

Ebu angalia mjadala huu unavyoiba credibility za watu

Huyu jamaa akishundwa hoja huwa anatukana au anazusha! sijaona mpaka kufikia sehemu ya kutoa matusi

hawa ndio CCM wapiganaji wa tabia za malecela, wanaokula na kuzaa na mafisadi, eti wanawakana

unafiki huu

usihangaike kujibu , sina tabia ya kujibu wajinga kama wewe, afadhali solomon david angalau ana upeo hata wa kujiita shoga
 
- Kama mzazi wako ni changudoa ...unafikiri ninatishika na huo usilamu wako hapa...
- Sophia simba ni mpumbavu...ninasema hivi Sophia ni changudoa! tabia za kwenda kuzaa na waume wa marafiki zako kwa siri ni nini maana yake?

-- I understand kwamba na hivi vitisho vyako unaujua uchafu wa binafsi wa Mama Kilango, sasa uweke hapa unajua watuwazima hatutishiani nyau na mimi ninaendelea na wa Sophia, pole pole kwa nafasi yangu!

Respect.
FMEs!

[/QUOTE]
Mkuu nashukuru kwa kunionyesha na kuionyesha JF jinsi ulivyolelewa na kukuzwa...hayo yote uliyoandika juu hapo,yanaonyesha aina ya MALEZI ULIYOPATA NA WALIYOPATA WAZEE WAKO, si tu,umejiaibisha na kupoteza heshima yako kwa waliokuwa wakikuheshimu,bali pia umewatia aibu na kuwavua nguo wazee wako ndani ya JF kwa kuufunua utovu wao wa malezi kwako, mtoto aliyelelewa kiungwana,nikiamni kuwa watanzania ndivyo wanavyowalewa watoto wao,hawezi kumtukana mzazi wa mwenzie matusi ya nguoni...kwani utupu wa mzee wa mwenzako ni kama wa mzee wako...na wazee wanapogombana na kukashifiana mtoto hawezi kuingilia ugomvi huo unless nayeye awe amekuzwa kiutovu wa adabu.
Mkuu, nakuhakikishia kuwa,tena wala sina wasiwasi...nayajuwa machafu ya Kilango,na sitakosa kitu kuyasema hapa...ila kwa kuwa sikupata malezi ya kiutovu wa adabu kama yako..nitanyamaza na kuwa mjinga...nitunze na kuheshimu uungwana wangu na waungwana wenzangu. Namheshimu Kilango kama ninavyomheshimu mama yangu mzazi,hata kama nayajuwa machafu yake sitamsuta kidole,whatsover...kwa kuwa najuwa hata mimi si mkamilifu, namheshimu Mzee Malecela....hata kama sasa tunatofautina kiitikadi bado namheshimu,na nauzuwia mdomo wangu kumtusi yy na mkewe ili nilinde heshima yangu na wazee wangu, kumtusi yy ni kama kuwatusi wazee wangu.MKUU MM SIKULELEWA HIVYO...I want my parents to be proud the way they brought me up,
I do not comment on religious matters...
Haya ww endelea kunitukana...mimi mbuzi, mzazi wangu changudoa...jengine?
 
hiyo masters yake halali imemsaidia nini? mbona anafikiria, kuongea na kutenda kama mmama ambaye hata form 4 hajafika?

wewe ndo unaona hivyo but kusema Malecela kapokea 200m za Jeatu ndo kosa au?au mlitaka aseme nini?mambo ya hovyo kabisa haya?mwache aseme kama ambavy akili yake imemtuma kwa kuwa kwa kufabya hivyo sio kosa?m,bona hamumshangai mengi anapoitisha PC na kusema yeye ni mwana CCM toka 1977! nani kamuuliza na anafanya hivyo kuweka rekodi sawa za nani na kwa faida ya nani?yaani ni upupu tupu.Sofia ameongea hivyo ndani uya chama chake na huo ndio utaratibu wao ,sasa nyie mnawashwa nini?kama na nyinyi ni CCM si ndo utaratibu wenu huo.
 
Abraham Mengi branded her a fool, Malecela kashauri apite Mirembe lakini appointing authority yake kimya!!! Something is terribly wrong somewhere.
 
Unafikiri atakubali kujiuzulu au anayajua makosa yake, watahukumiwa tu na mungu kwa wayatendayo
 
Back
Top Bottom