Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

..naona Kilango,Malecela,na Mengi, wameamua kumaliza suala hili kisiasa.

..kwa upande wangu ningependa wawe open kwa kukanusha kampeni zao kuchangiwa na Jeetu Patel.

..zaidi ningependa watoe vielelezo kuhusu watu waliowachangia ktk kampeni zao.

..pia kama kuna uwezekano wampeleke Sophia Simba mahakamani na kumdai fidia kwa kuwachafua.

NB:

..mchangiaji Pasco alidai Sophia Simba alimtuhumu Mama Kilango kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya. naomba wenye habari za ndani ya kikao hicho wathibitishe au kukanusha kama kweli Sophia alitoa madai hayo.
 
Billy,

Kuna member mmoja kaandika kuwa huyu mama ni Changudoa.

Sasa kama anamsifia Lowassa kuwa ni Mwanaume wa Shoka, inawezekana kashashuhudia USHOKA wake. Aisifiyae Mvua, imemnyeshea ati!!

All in all, Mama Sophia kafungua ukurasa mpya. Ni kipofu tu hataona jinsi Tanzania ilivyoishiwa ki-uongozi.

Utafungwa wewe shauri zako!! Haya kama ulivyosema Auntie kafungua ukurasa mpya maana nimeona dataz kule kwenye thread nyingine kwamba sasa hivi viongozi wananunuliwa kwa dau la Milioni 50 ili kumuweka mwanaume wa shoka madarakani! Haya tutayasikia mengi mwaka huu
 
..naona Kilango,Malecela,na Mengi, wameamua kumaliza suala hili kisiasa.

..kwa upande wangu ningependa wawe open kwa kukanusha kampeni zao kuchangiwa na Jeetu Patel.

..zaidi ningependa watoe vielelezo kuhusu watu waliowachangia ktk kampeni zao.

..pia kama kuna uwezekano wampeleke Sophia Simba mahakamani na kumdai fidia kwa kuwachafua.

NB:

..mchangiaji Pasco alidai Sophia Simba alimtuhumu Mama Kilango kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya. naomba wenye habari za ndani ya kikao hicho wathibitishe au kukanusha kama kweli Sophia alitoa madai hayo.

- Mzee wa malezi bora tatizo la Jeetu nini hasa kuwa Mhindi au ameshahukumiwa mahali kwamba ni fisadi?

- Sophia hakuongelea ya madawa ya kulevya na hata angeongelea, waziri mzima wa Takukuru anatakiwa kumchukulia hatua za kisheria Mama Kilango kwa kuuza madawa ya kulevya kinyume cha sheria, ukweli ni kwamba wakati Mama Kilango anahangiaka na biashara na kuwasomesha watoto wake nje, yeye Sophia alikuwa bize na waume za marafiki zake, mpaka kuisshia kuzaa watoto wanne na viongozi tfauti wanne, je unatka majina yao mkuu wa malezi bora?

- Jeetu hakufadhili harusi wala kampeni ya urais ni uongo na chuki za kuzidiwa kisiasa na in the process kujaribu kumsafisha Lowassa, ukweli ni kwamba Tanzania hatuna sheria inayozungumzia michango ya harusi kwa wananchi na viongozi, na pili harusi ilichangiwa na watu wengi sana huenda Jeetu ni mmojawapo na harusi ilifanyika miaka mitano iliyopita,

- Since then Sophia angeorodhesha harusi zote za viongozi na watoto wao ili kutuonyesha kwamba zilizkuwa safi na zilichangiwa na watu wasafi isipokuwa ya Malecela tu kwa sababu ya Jeetu! Ni kiongozi kichaa tu anawezaa kuzijibu hizi nonsense kutoka kwa kichaa mwingine! na kizuri kuliko vyote wakati Sophia anaropoka haya maneno Mama Kilango alikuwepo mwanzo mpaka mwisho, I mean majibu kwa Sophia yanakuja tena soon na yeye Sophia anajua hilo, it is coming na she is done!

- karibu tena mzee wa malezi bora, tuendelee tulipoachia jana! By the way, jana Sohpia aliambiwa mahali aje achungulie JF aone majibu akasema sitaki hao wote ni watu wa Anne Kilango, Bwa! ha! ha!

Respect

Field Marshall Es!
 
Haya maneno ya kusema Mama Sofia kazaa na wanaume wa watu mimi naona hayana tija.Wewe yanakuhusu nini?Kwanini usiwaachie wenye wanaume zao walalamike?
Kumtusi Mama Sofia hakutasaidia kitu kama watuhumiwa hawatakuja kukanusha madai yake na hata kumburuza mama Sofia mahakamani kwa kuwachafua.
Tingatinga aje atuambie je kampeni yake 2005 haikuchukua 200M kutoka kwa Jitu Tapeli na siyo bla bla za sijui chizi,malaya,akapimwe mirembe.Hizi hazitusaidii.
 
Hizi ni pombe sasa! hakuna anayeweza kuandika unavyotaka wewe! Unatuharibia JF, jadili hoja kama huna soma za wengine Idiot

wee masnilo **** nini.mbona unamtukana mwenzio?wewe unamatusi na ujinga mwingi sana wewe Bro.mimi ninasoma sana post zako.wewe na mwafrica na visa sana na watu hapa.
 
Haya maneno ya kusema Mama Sofia kazaa na wanaume wa watu mimi naona hayana tija.Wewe yanakuhusu nini?Kwanini usiwaachie wenye wanaume zao walalamike?
Kumtusi Mama Sofia hakutasaidia kitu kama watuhumiwa hawatakuja kukanusha madai yake na hata kumburuza mama Sofia mahakamani kwa kuwachafua.
Tingatinga aje atuambie je kampeni yake 2005 haikuchukua 200M kutoka kwa Jitu Tapeli na siyo bla bla za sijui chizi,malaya,akapimwe mirembe.Hizi hazitusaidii.

- Unapodai Mama K, anauza unga uliwahi kumuuuzia huo unga? Ndio maana nikakwambia hivi wakati anauza huo unga basi Sophia ndio kipindi alikuwa bize na waume wa marafiki zake mpaka kuazaa watoto wanne na viongozi mbali mbali tena wote wasilamu na yeye mkatoliki, Bwa! ha! ha! mzee wa malezi bota si nimesema hizi ndio lugha unazozipenda sasa have it na enjoy!

- Malecela, alichangiwa kwenye kampeni na harusi, Jeetu hakifadhili kampeni ya urais wa Malecela wala hakuhusika na harusi, Malecela amemjibu Sophia waziri wa ofisi ya Rais kwamba ni kichaa, na hawezi kijibishana na kichaa, sasa ni wakati wa Sophia na bosi wake Rais kuthibitisha kwamba Waziri Sophia sio kichaa na aliyoyasema ni ya kweli na wewe pia unaweza kuwasaidia na pia ututambie jinsi baba mdogo alivyohusika na wizi wa Kiwira na Meremeta, au?

- Si niluambia hizi ndio lugha unazozipenda yaani matusi sasa karibu tena mkuu!

Respect.

Field Marshall Es!
 
wee masnilo **** nini.mbona unamtukana mwenzio?wewe unamatusi na ujinga mwingi sana wewe Bro.mimi ninasoma sana post zako.wewe na mwafrica na visa sana na watu hapa.

- Hapana wewe ndiye mpuuzi na unahitaji kwenda Mirembe na ndugu yako Sophia, Full Stop!

Respect.

FMEs!
 
.... Malezi yangu na yako have nothing to do na JF....
... kama kwa kuwa na haya mawazo ninakuwa sina malezi bora so be it and I love it....sina tabia za chuki na wivu wa kijinga na viongozi wala members humu ndani, ninasimamia ukweli sijawahi kukwepesha ukweli kumtetea anybody, kama kuna ushahidi kuwa wapiganaji ni mafisadi sina tatizo kukubali, lakini sio maneno ya mtaani kuyageuza ishus za taifa kwenye hilo utanisamehe!

Field Marshall Es!
Kweli Ma mdogo,
Mtu asiyelelewa vizuri hukosa adabu na atajionyesha kama hana adabu popote pale.Nashukuru kuwa umekiri kuwa you Love it kuwa mtovu wa adabu,hongera sana.
Na tabia ya kuwa na chuki na wivu wa kijinga...unajaribu kuificha tu..lakini haya matusi yako uliyotukana yamekuweka mtupu kwenye mengi zaidi ya hayo tu...habari za udini zinahusu nini, mimi skutaja popote katika mjadala huu, hayo umeyazusha ww,nakushangaa sana,hayafanani na umri wako wala elimu yako...na nafasi yako huko uliko, pili,maneno ya mtaani kaleta nani humu JF,hasa katika mjadala huu...haya maneno kama CHANGUDOA, MBUZI...MWENDAWAZIMU n.k yanatoka wapi kama si mitaani na kayaleta nani kama si ww,
Ma mdogo, tuliza hapa watu wanakwenda kwa hoja za kistaarabu...nakushangaa baada ya miaka mitano kupita tokea ule mkasa wa Balozi Mahiga...hujabadlika tu...bado unaendeleza matusi na kashafa kwa watu unaopaswa kuwaheshimu, ambao wana umri sawa na wazee wako...mbona Kilango kajibu kiustaarabu,tuseme yeye hayakumchoma na yamekuchoma sana ww...mpaka unatoa mitusi kama upo ulevini vile...halafu unajinata kuwa hiyo ndo tabia yako na unaipenda,MTU MZIMA HAAMBIWI HANA HAYA,HUONA VIBAYA...BADILIKA MA MDOGO UMEELIMIKA LAKINI ADABU FUPI.
 
- Bwa! ha! ha! ha! mkuu unanivunja mbavu mzee wa malezi bora vipi tena si ulisema wewe unajiheshimu sasa ya Mama Kilango kuuza madawa ya kulevya umeyapata wapi mkuu yaani sina mbaavu! Bwa! ha! ha! eti vipi ukiusema huo mkasa wa Balozi maana wala sijui, ninachojua Rais alikutukana mbele ya wananchi New York, kwa sababu una malezi bora Bwa! ha! ha!

- Sophia ana candidates wengi sana wa kwenda nao huko Mirembe, Bwa! ha! ha!, sasa Junius naomba kukuuliza tena unakataa Sophia hakuzaa na viongozi mbali mbali wanne tena kwa kuwaibia marafiki zake? niwataje?

- By the way, the good thing ni kwamba inafurahisha kwamba finally, unajitokeza mwenyewe na kukubali mi-ID yako, chezea wajinga wewe hapa unajua vizuri sana, sina peremende nina fimbo tu!

Respect.

FMEs!
 
FMES said:
- Jeetu hakufadhili harusi wala kampeni ya urais ni uongo na chuki za kuzidiwa kisiasa na in the process kujaribu kumsafisha Lowassa, ukweli ni kwamba Tanzania hatuna sheria inayozungumzia michango ya harusi kwa wananchi na viongozi, na pili harusi ilichangiwa na watu wengi sana huenda Jeetu ni mmojawapo na harusi ilifanyika miaka mitano iliyopita,

- Since then Sophia angeorodhesha harusi zote za viongozi na watoto wao ili kutuonyesha kwamba zilizkuwa safi na zilichangiwa na watu wasafi isipokuwa ya Malecela tu kwa sababu ya Jeetu! Ni kiongozi kichaa tu anawezaa kuzijibu hizi nonsense kutoka kwa kichaa mwingine! na kizuri kuliko vyote wakati Sophia anaropoka haya maneno Mama Kilango alikuwepo mwanzo mpaka mwisho, I mean majibu kwa Sophia yanakuja tena soon na yeye Sophia anajua hilo, it is coming na she is done!

FMES,

..jana sikuchangia hii topic. samahani umenichanganya na mtu mwingine.

..halafu naona kama kauli zako zinajichanganya vilevile. soma vizuri hapo kwenye rangi nyekundu.

..kama nilivyoeleza mwanzo, majibu ya Malecela na Kilango hayatoshi.

..ingesaidia sana kama wangetoa ushahidi wa majina ya wachangiaji na waalikwa wa kwenye harusi yao.

..pia wangetoa majina ya wananchi waliochangia kampeni zao za Uraisi na Ubunge.

NB:

..Jeetu Patel ana urafiki wa namna yoyote ile na Mzee Malecela na Mama Kilango?
 
- Bwa! ha! ha! ha! mkuu unanivunja mbavu mzee wa malezi bora vipi tena si ulisema wewe unajiheshimu sasa ya Mama Kilango kuuza madawa ya kulevya umeyapata wapi mkuu yaani sina mbaavu! Bwa! ha! ha! eti vipi ukiusema huo mkasa wa Balozi maana wala sijui, ninachojua Rais alikutukana mbele ya wananchi New York, kwa sababu una malezi bora Bwa! ha! ha!

FMEs!
Naona unachachawa sasa...hata mwandiko umebadlisha...pole ndo ukubwa...na faida ya kujuwa kwingi...naona unataka kumuuza mama wa watu sasa,mm sina habari na hayo wala skusema hivyo,na sitataka aadhirike hapa JF kwa upunguwani wako,nasisitiza kuwa namuheshimu Kilango na mumewe,sitavunja heshima yao kwa ajili yako Mamkwe,nilikwambia awali,hukuzingatia,unapoonyesha ufupi wa adabu zako,unawatia aibu na wazee wako,usiwatie ila wazee wa watu...utaharibu...ww ni mkwe tu...mambo ya kuumeni hayakuhusu...wenyewe wame respond softly tu.
Mkuu, naona unazeeka vibaya,ulichokiskia ww ni matusi kutoka kwa rais...pengine umehadithiwa hukuwapo,pole sana...mkasa wa balozi ushausahau?...ha ha ha ha!!!
Napenda font zako endelea tu ma mdogo.
 
..................kama nilivyoeleza mwanzo, majibu ya Malecela na Kilango hayatoshi.

..ingesaidia sana kama wangetoa ushahidi wa majina ya wachangiaji na waalikwa wa kwenye harusi yao.

..pia wangetoa majina ya wananchi waliochangia kampeni zao za Uraisi na Ubunge.........

Mkuu Joka,

ukisha- declare kuwa aliyeku-accuse ni KICHAA.........sidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea kumuongela achlia mbali kutoa vithibitisho...........

This is what i have been talking most of the at JF.....ya kwamba kuna watu "mediocre" wameingia/ingizwa kwenye system wakapanda panda na sasa imefikia muda udhaifu wao tunauona..............NI AIBU TUPU

Kiongozi uliye na idara nyeti chini yako....unasimama na kuzungumza habari ambazo hazina uhakika.....it leaves behind a lot kwa washikadau ku-think about.............

Problem being
1. Rais aliyemteua
2. TISS
3. PCCB
4. Waliomfikisha hapo alipo

.........kichaa si STUPID.......unfortunately Sophia anavyo vyote....thus hata kwenye group la "mediocres" hayupo...........

She has to GO................ni another mzigo kwa Taifa
 
- Sophia anajaribu kulipa fadhila ya Lowassa na Rostam, waliyompa Shillingi Billioni 2 kumshinda Mama Kahama UWT, na wote wawili sasa hivi wanamlazimisha kuomba radhi, lakini the condition iko very clear ameambiwa toka jana, kwamba akaombee either kwenye ile ile kamati au to the public sio kwenye private, I mean Rais atatokea wapi na this shame?

- Kwamba CCM yote imejaa mafisadi then hili taifa lingekuwa halipo, kama sio Rutabanzibwa kule Richimonduli wangechukua kila kitu, kama sio Maghufuli kusingekua na bara bara mpya tena, kama sio wapiganaji kina Lowassa, Karamagi, Meghji, Msabaha, Mgonja, Rostam, Mkapa mpaka leo wangekua bado wanatuibia, ninaikataa kabisa hiyo kauli ya Sophia kuwa ni maneno ya mfa maji.

- Kwa wale tulio upinzani yes this sounds good, lakini ukweli ni kwamba there is nothing good in it kwa taifa wala wanachi kwa sababu tunalilia wapiganaji watoke basi, wakitoka wamekwisha they will never win anything unless nguvu za Rais wetu zimepunguzwa kikatiba, na wakishindwa taifa zima tumeshindwa kwa sababu sasa we are talking about CCM under Lowassa na Rostam,

Otherwise, hizi za Sophia zinaendelea kuwa good for nothing yaani kuchafuana majina na kutetea mafisadi, lakini as far as masilahi ya taifa are concerned sioni kitu!

Respect.

wote tu.mwakyembe anajaribu kulipa zile fadhira za tsh 43m alizopewa na yule fisadi nyangumi.ana njaa sana huyu mheshimiwa. I think sophia simba is right juu ya huyu mtu.njaa sana.Nasikia zile posho mbili yeye ndiye alikuwa anaongoza kwa kujikusanyia nyingi.nasikia alikinga nyingi sana na ndiyo maana ameamua kulala mbele.
 
Feld Marshall
Mbona unaonekana unamtetea sana mama ana Klango?Mtoto acha kupga mayowe.
 
FMES,

..jana sikuchangia hii topic. samahani umenichanganya na mtu mwingine.

..halafu naona kama kauli zako zinajichanganya vilevile. soma vizuri hapo kwenye rangi nyekundu.

- mkuu nafikiri kiswahili kinakupa matatizo, between kufadhili na kuchangia, nenda utafute kamusi ya kiswahili ikusaidie maana zake kwa taarifa yako ni kwamba hayana maana moja, pole sana mkuu.

..kama nilivyoeleza mwanzo, majibu ya Malecela na Kilango hayatoshi...ingesaidia sana kama wangetoa ushahidi wa majina ya wachangiaji na waalikwa wa kwenye harusi yao...pia wangetoa majina ya wananchi waliochangia kampeni zao za Uraisi na Ubunge.

- Huu ni wajibu wa mlalamikaji na the accuser, yaani Waziri wa Usalama wa Taifa, Takukuru ikiwemo Malecela amejibu tayari kwamba Waziri Sophia ni kichaa anahitaji kwenda kupimwa Merembe, sasa huu ni wasaa wa waziri wa serikali kujibu tena kwa ushahidi kwamba yeye ni mzima na hana ksoro yoyote na kwamba ni Malecela ndiye mwenye tatizo na hela za Jeeetu, hata wewe unaweza kumsaidia mkuu kuliko kulia lia bila sababu!

NB:

..Jeetu Patel ana urafiki wa namna yoyote ile na Mzee Malecela na Mama Kilango?

- Haya watajibu wenyewe, by the way kuwa rafiki na Mhindi Tanzania sasa ni crime? Mbona sisi wnegine tumesoma nao na tunaingiliana nao sasa iatkuwaje na hii profile! Bwa! ha! ha! inachekesha sana! eti Malecela ajibu kama anamjua Jeetu, halafu na wewe vipi humjui Mhindi yoyote Tanzania?

- Eti sasa kuwa na rafiki Mhindi ni a crime Tanzania? Joka kuu mbona huwa una hoja sana leo vipi mkuu au ni chuki hizo na hasira za wivu, punguza kidogo mkuu sasa si unaona umekua blinded kabisaaa!

- by the way, ulisema ulikuwa umemzoea IPP, ni wapi huko mkuu ulikomzoea?

Respect.

FMEs!
 
Naona unachachawa sasa...hata mwandiko umebadlisha...pole ndo ukubwa...na faida ya kujuwa kwingi...naona unataka kumuuza mama wa watu sasa,mm sina habari na hayo wala skusema hivyo,na sitataka aadhirike hapa JF kwa upunguwani wako,nasisitiza kuwa namuheshimu Kilango na mumewe,sitavunja heshima yao kwa ajili yako Mamkwe,nilikwambia awali,hukuzingatia,unapoonyesha ufupi wa adabu zako,unawatia aibu na wazee wako,usiwatie ila wazee wa watu...utaharibu...ww ni mkwe tu...mambo ya kuumeni hayakuhusu...wenyewe wame respond softly tu.
Mkuu, naona unazeeka vibaya,ulichokiskia ww ni matusi kutoka kwa rais...pengine umehadithiwa hukuwapo,pole sana...mkasa wa balozi ushausahau?...ha ha ha ha!!!
Napenda font zako endelea tu ma mdogo.

- Irrelevant, wapi hoja za masilahi ya taifa mzee wa malezi bora? This is too low for me kujibu mkuu!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom