Ohhh please huko nyuma nilishasema hivi:
Eidha Mengi sio smart kama anavyotaka watu wafikirie au washauri wake ni watu wa HOVYO HOVYO
Kwanza hii ni wrong move strategically...for obvious reasons
Pili huwezi kutafuta ligi na Sofia simba...period!!
Tatu anasema Sofia simba akatafute taarifa usalama wa Taifa lakini kasahau kuwa huyo huyo sofia simba ndiye waziri wa Usalama wa Taifa
Nnne: Mengi keshaingia kwenye huo mtego sasa i hope next time hatowaambia mawakili wake wazungumze kwa niaba yake...huyo mama keshaingia ulingoni na by the look of things naamini kuwa keshavaa gloves
Tano: Hiyo ya kubishana na mjinga ingebidi afafanue je mjinga ni nani hapo?
Kuhusu Pinda
Its no brainer,zile comments zake zinamfanya aonekane kama the most stupid Prime Ministers in Tanzania ever to breathe.
The picture i get from Pinda is a Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character. I would go through every single Govt decision initiated by this man who is driven by nothing but politics of envy.