Binafsi sijaona kosa la Mengi kuitisha Press Conference.
Hoja ya uanachama wa Mengi imeishaongelewa mara nyingi sana kwenye vikao vya ndani vya CCM. Kwenye NEC iliyopita, Mengi na uanachama wake kwa CCM was a subject of discussion. Kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar alisema Mengi si mwanachama wa CCM.
Hisia yangu ni kwamba, Mengi ameamua kuitisha hiyo PC ili kufunga mjadala wa uanachama wake kwa kumtia aibu Mama Simba. Waziri anatakiwa kuwa makini na kauli zake, anatakiwa achunguze na ukizingatia kwamba ana access ya information kwa kuwa UwT wako chini yake.
Hamjiulizi kwanini hakujibu mara zote ambapo amesikia watu wa jamii ya akina Guninita wakitoa hayo madai? Unapoona madai yanatolewa na mtu aliyejikoni lazima ujihami mapema na ndicho alichofanya, wale wengine aliona ni wajinga fulani na ndio maana magazeti ya udaku ya Mengi yalianza kuandika kwamba Guninita hajamaliza hata F4, so kumjibu mtu kama huyo ni kupoteza muda wako.
Kusema kwamba angeenda kuongelea kwenye vikao vya chama, atumie vikao gani wakati hana platform? Huko ndani ya NEC, CC, na kwenye vikao vya wabunge wa CCM wamejaa wabaya wake.
The bottom line ni kwamba, msg has been sent, Mama Simba needed to do her homework kabla hajaropoka. At the end of the day tutahoji umakini wa Mama Simba kama kiongozi mwenye nyadhifa kibao kuanzia Uenyekiti wa UWT, Waziri, Mjumbe wa CC, Mjumbe wa NEC na Mkutano Mkuu wa CCM. Mtu makini hawezi kuamini hearsay, lazima azifanyie kazi na hasa kama ana access ya information kupitia Usalama wa Taifa.