Kwa takribani siku nne au tano zilizopita nimekuwa nikisikiliza, kusoma, kuhusu Bibi Yetu, mama yetu, dada yetu, jirani, rafiki, adui etc Sohia binti Simba mtoto wenyewe wanasema wa mjini, mke wa aliye kuwa mstahiki meya nk.
lakini jambo lilonigua na matamshi yake ambayo nionavyo mimi hayaendani na elimu yake, labda iwe feki, wadhifa au nyadhifa tulizo nazo, mwisho nikajiuliza ndivyo waafrika tulivyo? au ndio watanzania walivyo? au ndio serikali yetu ilivyo na mwisho wa yote ndivyo ccm ilivyo au akinamama wengi walivyo.
Sasa ili kuondoa aibu hii ni vyema serikali yetu na vyama vyetu vikaachana na siasa au utendaji wa kupeana nchi au wadhifa kwa kigezo cha urafiki, maana wewe unaweza kufanya kwa nia nzuri, lakini unayemchagua akaona ukaribu wa kiongozi, urafiki nk ndio nguvu yake naye akaitumia vibaya, matokeo yake ndio haya malumbano, na kuharibu nchi na sifa za nchi licha ya sifa za viongozi wetu, matokeo yake watanzania wote tunaonekana ni watu wa havinitishi tishi (mipasho) mdundiko style.
Sasa imefika wakati sisi watanzania tujiulize sisi ndio watu wa design hiyo, hatuna watu wenye sifa na staha zifaazo ilituwakilisha na kutuongoza kwenye nyadhifa hizo, jamani akin dada zangu , akinamama. bibi, wachumba, wake hakuna moja wenu mwenye kufaa?
Serikali yetu hivi ndio picha mnayo tupa sisi watanzania? kweli tutakuwa salama na Wizara ya Usalama wa Taifa yenye kiongozi wa Namna hiyo?