Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,531
- 2,490
Hii ni pamoja na mpambe wake Mwanakijiji"Asirudi Dar es Salaam bila kupita Mirembe kupima akili, kwa maana atakuwa amepoteza fursa ya kujua matatizo aliyonayo kichwani kwake," alisisitiza.
Hii ni pamoja na mpambe wake Mwanakijiji"Asirudi Dar es Salaam bila kupita Mirembe kupima akili, kwa maana atakuwa amepoteza fursa ya kujua matatizo aliyonayo kichwani kwake," alisisitiza.
Mama Simba proved me right kuwa CCM wote ni mafisadi hakuna mwenye wa kujidai kumnyooshea vidole mwenzake, zaidi ni ishara kuwa akina Kilango walikuwa wakiwazubaisha tu watanzania wakati wao wenyewe vidole vinajielekeza kwao...Mkuu lisemwalo lipo...maana Kilango anakiri kuwa madai hayo yapo muda mrefu na anamshangaa mama simba kwa nini hakuchukuwa hatuwa huku akisahau kuwa alisaidiea yasifike mbali katika ile "kulindana lindana" na "usimwambie mtu".
Mkuu majibu ya Mwalimu kwa Idd Amin yalikuwa ni damu kwa damu...nani alikuwa kichaa kati yao...aliyemaliza ugomvi kwa shari au aliyeanza shari bila ya ugomvi?
Ya kiwira na Meremeta mwenyewe yupo kikaangoni...tunataka haya ya uswahiba na mafisadi...inasomeka vipi...yaani unamkana shetani na huku ukicheza ngoma yake...hapo vipi mkuu?
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...Nimekuuliza mtizamo wako na maoni yako ya alichosema mama simba. So far naona umejibu kuwa unaamini alichokisema.
Je unaamini kinachosemwa na mafisadi (kama ccm wote ni mafisadi)?
Wadau hii kamati itatoka kapa. Haitapata mafanikio yaliyokusudiwa, badala yake wabunge watavunjika vipande vipande mbele yao.
Alah kumbe bado makovu ya ugombea wa 2005 yanaendelea? Wakitoka huko wanatuambia sisi m wameshapatana na kuvunja kambi! kumbe uongo sio?
Ebu FMES na kibunango, leteni habari basi kumbe makundi bado yako kwenye chama chenu? Hizi ni habari toka Ikulu bwana tena kwa JK mwenyewe.
Hakuna makundi, kuna watu wamelewa na siasa za online, sasa hawana budi kupimwa Mirembe, kituo pekee hapo Bara baada ya Kidongo chekundu ZenjiWadau hii kamati itatoka kapa. Haitapata mafanikio yaliyokusudiwa, badala yake wabunge watavunjika vipande vipande mbele yao.
Alah kumbe bado makovu ya ugombea wa 2005 yanaendelea? Wakitoka huko wanatuambia sisi m wameshapatana na kuvunja kambi! kumbe uongo sio?
Ebu FMES na kibunango, leteni habari basi kumbe makundi bado yako kwenye chama chenu? Hizi ni habari toka Ikulu bwana tena kwa JK mwenyewe.
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...
- Tatizo siwezi kukujibu mtu mmoja na multiple IDs, kwa hiyo unaweza kuendelea nitajitahidi tu kukuelimisha inapobidi, pole sana mkuu!
- Halafu maneno ya kuwakwepa vichaa ni mazito sana na yanahitaji kuzingatiwa maana sio siri na humu tunao pia!
Respect.
Hapo ukweli umeshaingia, ila kama tujijuavyo, lazima utatafuta sababu,
FMES sina tatizo na wewe ndugu, japo una kale karoho ka CCM damu
FMEs!
So far umefukuza wangapi?
Record yako si mchezo - posts 8 tu umefukuza wengi hapa JF. Nategemea mwisho wa siku leo utakuwa umefukuza wanachama 50.
Mtake radhi mwanakijijiHii ni pamoja na Mwanakijiji
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...
Rule number 3, Do Neither believe nor confirm everything you have just heard.
Hapo juu umeshaconfirm, hii inadhihirisha IQ yako ndogo
Tatizo lako hapa umeshachukua side wewe uko upande wa Mengi na Malecela, kesho utawaruka!
Forums ni discussion na sio kuchukua side wala ku-confirm ulichosikia
Haya hapo juu nimesema nishafukuza watu umeshaamini, haya sasa sijawahi kufukuza watu
Rules are simple, I just need your attention!
uanataka rule number nne? ya JF??
Nikimaliza utakuwa umeshabadilika! uwe mpole na msikivu
Mkuu ww hujuwi furaha yangu kwa kauli ya mama Simba kuna mtu nilikuwa nikimwambia kuwa haiwezekani kiti moto cha Spika Sitta katika kamati kuu, Dodoma kuwa JK hajahusika...kaja ku-prove badae kuwa JK was behind all the sucus...nikiamwambia kuwa hizi kelele za akina Kilango,Malelecela, Mwakyembe,Mengi na wenzao ni uzushi tu na kuzubaishwa kwa watanzania CCM lao moja wanazidiana kwa uzito wa tonge na kusukumia tumboni...leo tumeona vijidalili vya wazi kutoka kwa CCM wenyewe kuwa CCM YOTE INANUKA UCHAFU WA UFISADIwale wanaodhani kuwa wanaficha hisia zao za mapenzi yao kwa ccm wanaweza kuwa vichaa zaidi ya Idi Amini na Mwalimu combined.
Mkuu ww hujuwi furaha yangu kwa kauli ya mama Simba kuna mtu nilikuwa nikimwambia kuwa haiwezekani kiti moto cha Spika Sitta katika kamati kuu, Dodoma kuwa JK hajahusika...kaja ku-prove badae kuwa JK was behind all the sucus...nikiamwambia kuwa hizi kelele za akina Kilango,Malelecela, Mwakyembe,Mengi na wenzao ni uzushi tu na kuzubaishwa kwa watanzania CCM lao moja wanazidiana kwa uzito wa tonge na kusukumia tumboni...leo tumeona vijidalili vya wazi kutoka kwa CCM wenyewe kuwa CCM YOTE INANUKA UCHAFU WA UFISADI
I do not have side...this has just proved some of my hypothesesInafurahisha sana kuona kuwa ccm imechafuka ila wewe tayari una upande?
Mkuu ww hujuwi furaha yangu kwa kauli ya mama Simba kuna mtu nilikuwa nikimwambia kuwa haiwezekani kiti moto cha Spika Sitta katika kamati kuu, Dodoma kuwa JK hajahusika...kaja ku-prove badae kuwa JK was behind all the sucus...nikiamwambia kuwa hizi kelele za akina Kilango,Malelecela, Mwakyembe,Mengi na wenzao ni uzushi tu na kuzubaishwa kwa watanzania CCM lao moja wanazidiana kwa uzito wa tonge na kusukumia tumboni...leo tumeona vijidalili vya wazi kutoka kwa CCM wenyewe kuwa CCM YOTE INANUKA UCHAFU WA UFISADI
I do not have side...this has just proved some of my hypotheses
Mkuu,Nimeisoma na kuisoma na kuisoma hii article, nikaitafakari na kujiuliza- hivi mtu asiyekuwa na akili timamu anaweza kuteuliwa kuwa waziri na mtu mwenye akili timamu? Jamani haya si matusi indirectly kwa aliyempa Simba hicho cheo?