Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Kiongozi tuachane na show off za IG tuzungumzie uwekezaji ni msanii gani kawekeza kama Mond?

Wasanii kwa ujumla sanaa za maigizo sanaa za kuimba na zingine zooote ni nani kawekeza kama Simba kiasi cha kumkamata Yule jamaa kawekeza kwenye rasilimali muhimu sana Ardhi aiseee mkuu ni maajabu ukija funuliwa
Umeongea mkuu jamaa kang'ang'ania showoff showoff nakati tunaona real investment.
 
Google lakin ukweli wa kwanza ni bob wine wapili chameleon watatu bebe cool ndo wengine wanafata
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝 Nimechekq mpaka mbavu zinauma yani source yenyewe uliyoiweka huiamini.

Hao wasanii wa Uganda hawanaga international shows za maana kwa kifupi hawana Fedha.

Bebe cool aliwika sana UG na hata E.A lakini kafirisika sana baada ya kuonyesha upumbavu wake waku_side na M7 watu wamemuacha hana hela.
Mwaka jana aliandaa concert Kampala hockey ground baba alipata watu wakuhesabika.

Bobi wine hamfikii hata Professor Jay kwa pesa vilevile chameleon.

Juzi hapa wakati wa sherehe za kuzaliwa za Jose mgeni wa heshima alikuwa DNA kutoka Kenya yani hiyo sherehe kwa jinsi ilivyokuwa hata ya Nillan dangote ilikuwa kubwa sana.

Kiongozi wangu usion kama na unazi sana na Simba ila kuna ukweli naufahamu kwa macho jamaa ni tajiri kwa namna yake.

Muziki unampa pesa nyingi na biashara zake zingine.

Kwenye wasafi tv wanatumia 27 million kuiweka hiyo station hewani bado hujazungumzia mambo mengine kama Radio n.k (Nafahamu anashirikiana na wenzake kuiendesha)
 
Nimejikuta baada ya kuiona nikama naishi kwenye Banda la mbwa tu,hii ni chachu ya kutafuta shilling
 
Miaka ijayo wale jamaa wa kuweka X wakiweka wataweza kulipa kweli?

Hiyo nyumba alikuwa anaishi nani?

Ila mjini kuzuri kama Mengi mwenyewe alikimbia kijijini huko..

Mansion kama hiyo sio ya kuishi watu wawili haipendezi inaogopesha aiseee
Unakuta watoto wapo shule,wewe safari mke kabaki nyumbani na house boy na walinzi wht next.....
Mkuu ukiwa tajiri marafiki hawaishi jamaa kila anapoenda huwa anawashtua washkaji kuwa nipo so wanakuja kula wine na kula bata na wazee wenzie tena wanakuja na michepuko yao mengi kala maisha asikwambie mtu kuna sehemu inaitwa WEST kilimanjaro huko ndio watu wanakula bata balaa matajili wote wazito unawajua huwa wanaenda huko kula maisha yani full privacy ndio mana hupasikii watoto wa mbwa huwakuti huko wapenda selfie
 
Kiongozi tuachane na show off za IG tuzungumzie uwekezaji ni msanii gani kawekeza kama Mond?

Wasanii kwa ujumla sanaa za maigizo sanaa za kuimba na zingine zooote ni nani kawekeza kama Simba kiasi cha kumkamata Yule jamaa kawekeza kwenye rasilimali muhimu sana Ardhi aiseee mkuu ni maajabu ukija funuliwa
Kawekeza kwenye nini???...hizo sjui tv,radio,karanga c ni watu wamewekeza kwa kutumia jina lake though na yeye ana percentage yake ingawa anawadanganyaga kuwa vyote ni vyake....any way inaonesha una mahaba binafsi....mi nilikuwa tu na kuelimisha kijana usidanganywe na maisha ya instagram ya mtu yoyote....wenzio huko instagram wanaogaga madola...wana magari ya thamani na majumba tena magorofa....sasa wewe kijana mwenzangu ukiyaona hayo maisha unaamini kweli watu wanahizo pesa unaweza shangaa unaingia hata kwenye biashara za madawa ili uishi hayo maisha....
 
Ni kweli ana pesa lakini sio izo zilizotajwa wanajaribu kum brand ili aonekane ana pesa hata wasanii wa marekani hufanya hivyo
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝 Nimechekq mpaka mbavu zinauma yani source yenyewe uliyoiweka huiamini.

Hao wasanii wa Uganda hawanaga international shows za maana kwa kifupi hawana Fedha.

Bebe cool aliwika sana UG na hata E.A lakini kafirisika sana baada ya kuonyesha upumbavu wake waku_side na M7 watu wamemuacha hana hela.
Mwaka jana aliandaa concert Kampala hockey ground baba alipata watu wakuhesabika.

Bobi wine hamfikii hata Professor Jay kwa pesa vilevile chameleon.

Juzi hapa wakati wa sherehe za kuzaliwa za Jose mgeni wa heshima alikuwa DNA kutoka Kenya yani hiyo sherehe kwa jinsi ilivyokuwa hata ya Nillan dangote ilikuwa kubwa sana.

Kiongozi wangu usion kama na unazi sana na Simba ila kuna ukweli naufahamu kwa macho jamaa ni tajiri kwa namna yake.

Muziki unampa pesa nyingi na biashara zake zingine.

Kwenye wasafi tv wanatumia 27 million kuiweka hiyo station hewani bado hujazungumzia mambo mengine kama Radio n.k (Nafahamu anashirikiana na wenzake kuiendesha)
 
Sasa hapa huyo Mondi kafuata nini? Je umri wa Mondi unafanana hata kwa robo? Je aliyoyafanya mondi katika umri wake Dr Mengi alikuwa ameshayafanya kati umri huo? Chuki na wivu huwa ni ugonjwa hatari sana kwa fikra chanya.
Umri sio sababu ya kuwa na pesa nyingi. Mbona babu yako ana umri mkubwa kuliko diamond lakini kazidiwa pesa na huyo boss wako wa madale!
 
wachagga ndvyo walivyo, angalia mzee Mremi mwenye DAr express, ananyumba kali kijijina na dar huko masaki na ndio maana wachagga wanarudi kwao krismass,
angalia ludovic utoh, angalia charles Kimei, yani hawa watu nawaonea wivu sana na ndio maana awamu ya 5 imewanyima vyeo kabisa wakiamini utajiri wao ni kwa kuwapa vyeo lakini wachagga ni unstoppable kama liverpool, salute kwao.

kila mtu anawaonea wivu kumbe kwao kuzuri, mtu unpata hamu ya kurudi nyumbani mda wowote, hebu linganisha na kule kwa ndugai dodoma kuna funza balaa, mbungo na hakuna hata kuvutia.

njoo igunga kwa rostam, hakuna miti, yaani ukienda chato ndio kabisa, mkapa kakimbia kwao kaenda kaskazini, Mwinyi kakimbia zanzibar yupo masaki,
KIMEI kajipendelea sana kaweka hadi ATM ya CRDB machame kule huu msiba utakua umeacha mzunguko mzuri sana wa pesa moshi kwa wenye hotels na gesti
 
Kawekeza kwenye nini???...hizo sjui tv,radio,karanga c ni watu wamewekeza kwa kutumia jina lake though na yeye ana percentage yake ingawa anawadanganyaga kuwa vyote ni vyake....any way inaonesha una mahaba binafsi....mi nilikuwa tu na kuelimisha kijana usidanganywe na maisha ya instagram ya mtu yoyote....wenzio huko instagram wanaogaga madola...wana magari ya thamani na majumba tena magorofa....sasa wewe kijana mwenzangu ukiyaona hayo maisha unaamini kweli watu wanahizo pesa unaweza shangaa unaingia hata kwenye biashara za madawa ili uishi hayo maisha....
Kiongozi, itafute interview aliyoifanya na wasafi radio kwenye kipindi cha block 89.

Alieleza hivi wasafi media wanashirikiana watu wawili tu yani yeye na mtu ambaye ni mtanzania (hakumtaja jina).

Diamond karanga, chibu perfume nazo anashirikiana na watu akatolea mfano Cirock ya Puff dady A.K.A P didy kwamba nayo anashirikiana na watu.

Hakuna mtu yeyote mwenye mafanikio makubwa anaefanya kitu mwenyewe bila kuhusisha watu wengine
 
Kwani Ruge ndo tajiri kuliko wahaya wote?
Hata top 20 ya wahaya matajiri hakuwemo .Kwanza hakuwaga na nyumba kabisa.
Wahaya wa kulinganisha na mengi ndo wakina Ally Mfuruki
Ndugu tangu jana unazunguka tu Ally Mfuruki, Ally Mfuruki, bila hata kuwekamo hata tupicha Mkuu...
 
15. maandiko yenyewe yaliandika kuwa sisi ni mavumbi na mavumbini tutarud

Ila maandiko hayo hayo pia yaliandika kuuchukia umaskini....

tupambane tu mkuu tuishi vizuri kabla hatujarudi mavumbini, maana wengi wetu bado tupo hai lakini umaskini wetu unatufanya tunaishi kwenye mavumbi angali bado tupo hai.

Well articulated!
 
Uwezi mlinganisha na hawa malimbukeni na washamba wanaoharibu Tanzania
 
Back
Top Bottom