Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Acha wivu wako utakufa hujawahi kumiliki hata 150 million ambazo mondi anazipata kwa wiki tu ohooooo! Roho mbaya inauwa
mkuu acha kudanganya....hakuna msanii tanzania anayeingiza milioni 150 per week ambayo ni sawa na milioni 22 per day...hakuna msanii wa namna hiyo na hajawahi tokea
 
mkuu acha kudanganya....hakuna msanii tanzania anayeingiza milioni 150 per week ambayo ni sawa na milioni 22 per day...hakuna msanii wa namna hiyo na hajawahi tokea
Kwanza nikupongeze kwa kunikosoa kiungwana.

Pili Diamond anaingiza zaidi ya hizo pesa ndani ya wiki moja Show mbili alizofanya South korea na Oman zimemuingizia pesa ambazo kama mzazi wako alikuwa Mwalimu wa sekondari, Askari mwenye cheo cha hata nyota tatu n.k anaziota tu mpaka leo.

NB; Haingizi hizo pesa kila wiki kwa sababu kuna wiki zinaisha bila kufanya shows kabisa ila sio kwamba hapati angalau 15 million kwa wiki hapana Lavalava atafanya show Mboso atafanya Rayvanny atafanya na harmonize pia hawa wanaingiza mtonyo wa maana.

Kuna mgawo usitake kujua unagawiwa vipi kwa sababu crewe ni kubwa
 
wachagga ndvyo walivyo, angalia mzee Mremi mwenye DAr express, ananyumba kali kijijina na dar huko masaki na ndio maana wachagga wanarudi kwao krismass,
angalia ludovic utoh, angalia charles Kimei, yani hawa watu nawaonea wivu sana na ndio maana awamu ya 5 imewanyima vyeo kabisa wakiamini utajiri wao ni kwa kuwapa vyeo lakini wachagga ni unstoppable kama liverpool, salute kwao.

kila mtu anawaonea wivu kumbe kwao kuzuri, mtu unpata hamu ya kurudi nyumbani mda wowote, hebu linganisha na kule kwa ndugai dodoma kuna funza balaa, mbungo na hakuna hata kuvutia.

njoo igunga kwa rostam, hakuna miti, yaani ukienda chato ndio kabisa, mkapa kakimbia kwao kaenda kaskazini, Mwinyi kakimbia zanzibar yupo masaki,

Alikwambia Mwinyi mzamzibar Nani? Na alikwambia Mwinyi anaishi Masaki nani [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli, kakuacha ww uko hai lakini kwenye single room ya kupanga.
..................Na bado na yeye atakufa kama mzee Mengi.

Maskini huwa tunapenda kujifariji sana pale alietuzidi kipato anapotwaliwa.
 
Hii palace ya machame imeonekana na kufahamika kiasi hiki baada ya mzee kufariki, palace za Diamond atazionyesha mwenyewe najua unamjua alivyo.

Unaweza kuhisi natania ila hii comment iweke kama kumbukumbu haitochukua muda mrefu utaiona palace mojawapo utai_review hii comment

Why anapanga sasa mbezi asikae kwenye hizo palace zake[emoji23][emoji23][emoji23] unajua unatuchosha
 
Kwanza nikupongeze kwa kunikosoa kiungwana.
Pili Diamond anaingiza zaidi ya hizo pesa ndani ya wiki moja Show mbili alizofanya South korea na Oman zimemuingizia pesa ambazo kama mzazi wako alikuwa Mwalimu wa sekondari, Askari mwenye cheo cha hata nyota tatu n.k anaziota tu mpaka leo.
NB; Haingizi hizo pesa kila wiki kwa sababu kuna wiki zinaisha bila kufanya shows kabisa ila sio kwamba hapati angalau 15 million kwa wiki hapana Lavalava atafanya show Mboso atafanya Rayvanny atafanya na harmonize pia hawa wanaingiza mtonyo wa maana.
Kuna mgawo usitake kujua unagawiwa vipi kwa sababu crewe ni kubwa
...chakwanza afadhali umekiri kuwa hiyo hela haingizi kwa wiki constantly...chapili ndugu maisha haya ya wasanii huko instagram ni tofauti kabisa na uhalisia...wamekuwa ni watu wa ku fake sana...hao wenyewe wakina mbosso juzi kati tu wanapiga picha kwenye nyumba za watu wamepanga wanataka kudanganya ni zao wamenunua...diamond kweli anahela but anachowaaminisha watu ni kuwa ye anamihela mingii sana kinyume na uhalisia....hawa wasanii ni waongo sana but tunaowajua hawatupi shida....kuna mmoja mkubwa sana tena maarufu mnooo mdogo wake ni rafiki angu kaajiriwa serikalini kazi ya kawaida tu but kutwa kumpigia simu dogo kumpiga mizinga....fungua sasa account yake insta umwone bataa anazokula....usiamini maisha ya mastaa wanayotaka kuiaminisha jamii wana maisha fulani utapotea
 
Mkuu, hii nyumba moja inazidi utajiri wote wa Diamond.
Hiyo nyumba haifikii ata robo ,Ana utajiri gani huo ambao hawezi ata nunua custom made rolls royce anachojua yeye ni kuzalilisha wanawake zake,
 
Hiyo nyumba haifikii ata robo ,Ana utajiri gani huo ambao hawezi ata nunua custom made rolls royce anachojua yeye ni kuzalilisha wanawake zake,

Alikuambia analipenda hilo gari?nionyeshe Rolls Royce ya Bill gates au sam walton
 
Back
Top Bottom