Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Kabisa mkuu hata ukimuangalia sura anaonekana age imeendaNinafikiri 50 plus
Kabisa mkuu hata ukimuangalia sura anaonekana age imeendaNinafikiri 50 plus
47Ana....
Ndombadilike sasa muache roho mbaya muige huyu mzee ,Mama kiongiz wa Vikoba Kilimanjaro kahojiwa kanisani na kudai matajili wa Kilimanjaro wanawaonaga kama mbwa ata msaada wa kiti kimoja cha kukalia hawawez kuwasaidia alafu mnajisifia ujinga ,ndomaana Makonda alisema Mengi alikua mchaga wa kitofauti .Nikweli uyomama kayadhibitisha ayo wakat akihojiwa na muandishi.
Sasa hayo mageti matatu na underground armor ni za nini
mmh!... kazi kweli kweli...Diamond platnumz anafanya Show moja ya kimataifa kwa zaidi ya million 35 Hakuna utani katika hili.
Tatizo lako hukuelewa vizuri umekurupuka Si kila wiki anafanya international Shows, Show mbili tu alizozifanya South korea na Oman hela yake wewe mpaka unakufa hutowahi kuimiliki nauhakika huo hata kama umeajiriwa wizara ya fedha otherwise ukadange UK
Tafsiri ya neno kudanga ni Kutafuta najua ulikuwa hujui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutupatia mawazo yako ya kimaskini kwamba hatuna au hatuwezi kumiliki Kama huwezi Ni wewe sio mimi
Na Kama alternative yako Ni kudanga Basi we danga
Ila usilete uongo wako hapa
😂😂Kweli kuna matajiri na mabilionea tu...nani alikua anaijua hii nyumba ? Sio kina domo wakianza kujenga tu utasikia wanaitisha press conference kuwa anajenga mjengo [emoji3][emoji3][emoji23]
Kuna reactions unazifanya out of anger, unajua kuwa ni familia ya mama ilimpeleka kusoma Scotland?
Tafsiri ya neno kudanga ni Kutafuta najua ulikuwa hujui.
Mimi ni mdangaji kweli kwa sasa pesa nayoimiliki baba yako mzazi hajawahi hata kuishika, wewe mwenyewe hadi utakufa utakuwa ukiisikia tu.
Ili kuondoa porojo na pumba zisizo na ushahidi tufanye jambo moja mimi ni kijana mdogo tu ambaye sina hata miaka 30 ila naongoza wazee kwenye taasisi ambayo ina marupurupu ghali sana kwa kifupi mimi ni mpigaji kweli kweli ze pesa nayoitengeneza kwa wiki mbili wewe unaitengeneza miezi miwili kama umeajiriwa na serikali
Da iyo nyumba inasifa zote hizi basi mzee inawezekana pia kuna bishara nyuma yapazia ambayo ni siri yake na mungu anajua sio kwa jiami ivyo kiosama kiosama maana utajiri mkubwa na pesa nyingi nyuma pia kuna mambo mengi labda ndo maana kuna sehem emesema aliijenga akiwa au kipindi anatishiwa maisha yake1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.
2.Underground.
3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.
13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k
Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164