UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,697
- 6,099
Mtu mpe sifa yake ,Jiwe amefiwa na dada yake hata sidhani kama barabara ilionyeshwa ya kwenda kwake ingawa ya lami na amekuwa mbunge na waziri Zaidi ya miaka 25 hivi .Mimi nabangaiza pale machame nimeweka na mimi mjengo wangu jamani nikisikia shida za awamu ya tano naenda kupunzika kimya sina waaa (siendi dubai mimi) haaaaaa.Mangi !!!!!mie