GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,453
- 127,633
Una wasiwasi na Abdieli na Regina au Benjamin?
Mmoja wapo na mwenye Umuhimu uliyemsahau / aliyesahaulika hapo.
Una wasiwasi na Abdieli na Regina au Benjamin?
Nani anaweza kujenga nyumba msituni bila kuharibu mazingira? Acha uongo.1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k
Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164
Kunywa maji utafute sehemu yenye kimvuli pumzika kidogo negativity will kill u.Lakini amelala tayari hatoamka tena.
We yako iko wapi uliyojenga bila kuitisha press conference?Kweli kuna matajiri na mabilionea tu...nani alikua anaijua hii nyumba ? Sio kina domo wakianza kujenga tu utasikia wanaitisha press conference kuwa anajenga mjengo [emoji3][emoji3][emoji23]
Ukweli bila hela ni uongo.Sina hizo M150 lakini kwenye ukweli na usemwe !!!!
Hawa watu hata wakifa bana wamekula raha pia
Si tunasikia mjengo huo wa ghorofa imeandikwa ni mali ya mapacha na mama yao hiyo.Hiyo ndio tafsiri sasa ya kuwa Bilionea sasa. Na laiti angekuwa hai hakuna ambaye angejua huo mjengo.
Apumzikage kwa amani Baba wa watu japo pia si ajabu hiyo nyumba ikaja kuzua mgogoro huko mbeleni.
Uwiii. Acha kabisa Mkuu.Si tunasikia mjengo huo wa ghorofa imeandikwa ni mali ya mapacha na mama yao hiyo.
Si tunasikia mjengo huo wa ghorofa imeandikwa ni mali ya mapacha na mama yao hiyo.Hiyo ndio tafsiri sasa ya kuwa Bilionea sasa. Na laiti angekuwa hai hakuna ambaye angejua huo mjengo.
Apumzikage kwa amani Baba wa watu japo pia si ajabu hiyo nyumba ikaja kuzua mgogoro huko mbeleni.
Hivyo ndivyo ilivyo mkuuuu...Uwiii. Acha kabisa Mkuu.
Sasa ww ambae hauna kitu ndo hautakufa?14. Hata uwe na nini vyote tutaviacha duniani..Vanity upon Vanity...
Si tunasikia mjengo huo wa ghorofa imeandikwa ni mali ya mapacha na mama yao hiyo.