Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

The Late Dr R. A Mengi , Once said that " The Meaning of Money is what does".
Lala kwa Amani Mengi Tajiri wa Roho na Pesa.
 
Haya mambo ya dunia yanachekesha na hayaingii akilini. Ati aliijenga wakati anatishiwa uhai wake, kwa ajili ya kujihami ndio akaweka kila aina kinga katika hilo jengo!
Mbona uhai wenyewe umemtoka kimzaha hivi?
 
Nyumba aliyozikwa au ambayo alikuwa anaishi akiwa hai?
Hii nyumba mangi mengi alijenga hivi karibuni haina muda mrefu .ipo upande wa njia ya machame ya kupanda mlima mwanzo wa msitu wa kili . Kijiji cha familia pale nkuu hakujenga nyumba ndugu zake ndiyo wana nyumba nafikiri aliwaachia . ana nyumba moshi mjini . Lakini atazikwa kwenye kijiji cha familia nkuu machame
 
Wanaadam Mali zimetutoa utu, tumuonee huruma mwenzetu saa hizi yuko kwa Dunia nyingine kabisa akijipambania
 
Kweli kuna matajiri na mabilionea tu...nani alikua anaijua hii nyumba ? Sio kina domo wakianza kujenga tu utasikia wanaitisha press conference kuwa anajenga mjengo [emoji3][emoji3][emoji23]
Diamond sasa ni tajiri mkuu??..
 
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164
Kumbe ndio maana wachaga wanachukiwa sana !
 
Back
Top Bottom