Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Tajiri wa KIHAYA aliishia kuzaa na kumjengea Binti Machuppi. Asee Shikamoo Mzee Jasiri wa kweli
Kwani Ruge ndo tajiri kuliko wahaya wote?

Hata top 20 ya wahaya matajiri hakuwemo .Kwanza hakuwaga na nyumba kabisa.

Wahaya wa kulinganisha na mengi ndo wakina Ally Mfuruki
 
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164

Huyu jamaa mnyenyekevu
 
Mbona inajulikana, ni vile tu wabongo wanaendeshwa na matukio...

Kwa sasa vile kuna msiba ndio wanaipaisha sana...
Kweli kuna matajiri na mabilionea tu...nani alikua anaijua hii nyumba ? Sio kina domo wakianza kujenga tu utasikia wanaitisha press conference kuwa anajenga mjengo [emoji3][emoji3][emoji23]
 
Hii nyumba mangi mengi alijenga hivi karibuni haina muda mrefu .ipo upande wa njia ya machame ya kupanda mlima mwanzo wa msitu wa kili . Kijiji cha familia pale nkuu hakujenga nyumba ndugu zake ndiyo wana nyumba nafikiri aliwaachia . ana nyumba moshi mjini . Lakini atazikwa kwenye kijiji cha familia nkuu machame
Na kwa Mila za wachaga kama wewe sio mtoto wa mwisho wa kiume unawadogo zako Inatakiwa uhame nyumbani ukajenge kwako pale nyumbani ni miliki ya mtoto mdogo wa kiume(wa mwisho). Kimila jeneza la Dr mengi aitakiwi kulala kwenye mji wa mdogo wake na endapo lingelala pale lingewekwa chini ya turubai. Ndio Maana uchagan kila mtu anajitahidi kuwa na kijumba chake awataki kuachia familia aibu siku wakitoa hapa Duniani na ukiona mchanga anazikiwa dar elewa kabisa huyo kijiji ajjawekeza hata nyumba ya tope..
 
nyumba kali aisee.
Hii ndio maana ya Kuwa tajiri. Sio unakkuwa tajiri Dar huku kijijini unambuzi wanne na nyumba yenye ramani ya msumbiji.
wachagga ndvyo walivyo, angalia mzee Mremi mwenye DAr express, ananyumba kali kijijina na dar huko masaki na ndio maana wachagga wanarudi kwao krismass,
angalia ludovic utoh, angalia charles Kimei, yani hawa watu nawaonea wivu sana na ndio maana awamu ya 5 imewanyima vyeo kabisa wakiamini utajiri wao ni kwa kuwapa vyeo lakini wachagga ni unstoppable kama liverpool, salute kwao.

kila mtu anawaonea wivu kumbe kwao kuzuri, mtu unpata hamu ya kurudi nyumbani mda wowote, hebu linganisha na kule kwa ndugai dodoma kuna funza balaa, mbungo na hakuna hata kuvutia.

njoo igunga kwa rostam, hakuna miti, yaani ukienda chato ndio kabisa, mkapa kakimbia kwao kaenda kaskazini, Mwinyi kakimbia zanzibar yupo masaki,
 
wapo wengi, saa hii wamejiharia, Mengi ana akili na alitumia w
Wale waliokuwa wanaanzisha nyuzi dhidi ya mama wawili kimyaaaaaa roho inawauma na mawazo yao ya uswahilini.
akili ngalo kuandaa wosia, kila kitu kimepangwa, huyu ni mchagga si wenzangu na mimi huku kusini mtu anakufa haijulikani itakuwaje, tuige wachagaa
 
Na kwa Mila za wachaga kama wewe sio mtoto wa mwisho wa kiume unawadogo zako Inatakiwa uhame nyumbani ukajenge kwako pale nyumbani ni miliki ya mtoto mdogo wa kiume(wa mwisho). Kimila jeneza la Dr mengi aitakiwi kulala kwenye mji wa mdogo wake na endapo lingelala pale lingewekwa chini ya turubai. Ndio Maana uchagan kila mtu anajitahidi kuwa na kijumba chake awataki kuachia familia aibu siku wakitoa hapa Duniani na ukiona mchanga anazikiwa dar elewa kabisa huyo kijiji ajjawekeza hata nyumba ya tope..
nyumba shanty town, masaki , Kinondoni hananasif, njiro arusha, uzunguni dodoma, uzunguni mbeya, kapri point mwanza, nairobi, dubai, new york, london na johanesburg, hizo ni za mapumziko yake, nyie endeleeni na serikali ya vyerehani na kutekana
 
Masista duu na mablazameni wa insta wangepata nafasi ya kwenda pale kabla ya kuonekana mjengo huu
#ingehusika USA baby
 
Na kwa Mila za wachaga kama wewe sio mtoto wa mwisho wa kiume unawadogo zako Inatakiwa uhame nyumbani ukajenge kwako pale nyumbani ni miliki ya mtoto mdogo wa kiume(wa mwisho). Kimila jeneza la Dr mengi aitakiwi kulala kwenye mji wa mdogo wake na endapo lingelala pale lingewekwa chini ya turubai. Ndio Maana uchagan kila mtu anajitahidi kuwa na kijumba chake awataki kuachia familia aibu siku wakitoa hapa Duniani na ukiona mchanga anazikiwa dar elewa kabisa huyo kijiji ajjawekeza hata nyumba ya tope..

Haijajengwa kwa Rushwa za ujenzi wa barabara
 
Back
Top Bottom