Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Mkuu tukubali tu anafedha japo si nyingi kama za mzee mengi n.k...chakwanza afadhali umekiri kuwa hiyo hela haingizi kwa wiki constantly...chapili ndugu maisha haya ya wasanii huko instagram ni tofauti kabisa na uhalisia...wamekuwa ni watu wa ku fake sana...hao wenyewe wakina mbosso juzi kati tu wanapiga picha kwenye nyumba za watu wamepanga wanataka kudanganya ni zao wamenunua...diamond kweli anahela but anachowaaminisha watu ni kuwa ye anamihela mingii sana kinyume na uhalisia....hawa wasanii ni waongo sana but tunaowajua hawatupi shida....kuna mmoja mkubwa sana tena maarufu mnooo mdogo wake ni rafiki angu kaajiriwa serikalini kazi ya kawaida tu but kutwa kumpigia simu dogo kumpiga mizinga....fungua sasa account yake insta umwone bataa anazokula....usiamini maisha ya mastaa wanayotaka kuiaminisha jamii wana maisha fulani utapotea
Ni mwanamuziki mwenye pesa kuliko wenzake woteee naweza kuthubu kusema the whole E.A hakuna msanii anayemfikia kwa utajiri