Kawekeza kwenye nini???...hizo sjui tv,radio,karanga c ni watu wamewekeza kwa kutumia jina lake though na yeye ana percentage yake ingawa anawadanganyaga kuwa vyote ni vyake....any way inaonesha una mahaba binafsi....mi nilikuwa tu na kuelimisha kijana usidanganywe na maisha ya instagram ya mtu yoyote....wenzio huko instagram wanaogaga madola...wana magari ya thamani na majumba tena magorofa....sasa wewe kijana mwenzangu ukiyaona hayo maisha unaamini kweli watu wanahizo pesa unaweza shangaa unaingia hata kwenye biashara za madawa ili uishi hayo maisha....