wachagga ndvyo walivyo, angalia mzee Mremi mwenye DAr express, ananyumba kali kijijina na dar huko masaki na ndio maana wachagga wanarudi kwao krismass,
angalia ludovic utoh, angalia charles Kimei, yani hawa watu nawaonea wivu sana na ndio maana awamu ya 5 imewanyima vyeo kabisa wakiamini utajiri wao ni kwa kuwapa vyeo lakini wachagga ni unstoppable kama liverpool, salute kwao.
kila mtu anawaonea wivu kumbe kwao kuzuri, mtu unpata hamu ya kurudi nyumbani mda wowote, hebu linganisha na kule kwa ndugai dodoma kuna funza balaa, mbungo na hakuna hata kuvutia.
njoo igunga kwa rostam, hakuna miti, yaani ukienda chato ndio kabisa, mkapa kakimbia kwao kaenda kaskazini, Mwinyi kakimbia zanzibar yupo masaki,