Mimi nilichoona hapo kwenye hiyo barua, mbali na maudhui yahusuyo barua hiyo; ni kwamba barua imeanza na Namba 2. Namba moja imekwenda wapi? Haikutakiwa kuonekana na wasomaji ndani ya JF, au ni mwandishi kaisahau?

Pili, hao wanaoomba ruhusa ya kufanya utafiti hapo hawajatajwa kwenye barua hiyo, je, nao ni siri wasijulikane

Haya maswala ya dini yamekuwa mengi sana siku hizi huko serikalini. Hili siyo jambo zuri kwa nchi ambayo inaruhusu watu washiriki ndani ya dini yoyote bila kuhusisha dini hizo katika maswala ya kiserikali. Sasa hata serikali inajenga makanisa, hii siyo ajabu?
Kujenga makanisa au misikiti ni jambo zuri sana.

Tena Mimi ningekuja mkuu wa nchi ningekenga misikiti na makanisa sambamba na Shule .

Ushoga ,ugaidi na Biashara za madawa ya kulevya na Biashara haramu za binadamu zinatokana na misaada Toka Ulaya na Uarabuni kupitia misaada ya Ujenzi wa Nyumba za Ibada.

Hata Waislam wanafarakana kutokana na misaada ya kujengewa misikiti Toka Uarabuni.

Ningekua Rais misaada yote lazima ipitie serikalini . Kama hawataki tutajenga Kwa nguvu zetu wenyewe.

Magufuli alidhibiti ugaidi Kwa kudhibiti pesa Toka nje na Biashara haramu za m as dawa ya kulevya mana ndizo zinazofadhili ugaidi .
 
Kuna kitu kinatafutwa muda sio mrefu kitatoa majibu
Hakuna kitu chochote !
Waislamu na Wakristo wa Nchi hii ni ndugu tangu Nyinyi nyote humu jf hamjazaliwa !

Kwahiyo hawawezi kuja kugombanishwa kwa sababu zozote zile !
Mtagombana kwenye siasa zenu huko lakini kwenye Dini hamtawapata wa kugombana ! πŸ™
 
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.

Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.

Mwenye kufahamu basi atufafanulie.

View attachment 2985918
Mkuu
Watu hawasomi hata Katiba mbovu iliyopo usitegemee watakuwana akili
 
usitegemee watakuwana akili
Ni kweli kabisa .
Madawa ya kulevya ,Ushoga ,usagaji,na ugaidi ni tatizo kubwa sana linalopitia kwenye dini na NGOs na siasa.
Hawa wafadhili na wawekezaji wezi wanatumia Mbinu kubwa sana kufanikiwa kuweka madarakani watu wanaolinda harakati zao.
Jambo la kwanza wanadhibiti vyombo vya Dola na kufanya viwe dhaifu.
Ili wafanikiwe kuisambaratisha nchi kama walivyofanya huko Kongo jambo la kwanza ni kuisambaratisha uimara wa vyombo vya Dola kwenye kusimamia Sheria na Imani ya vyombo hivyo Kwa wananchi.

Ndio maana utashangaa kuona wale waliotumia Polisi kuiba kura ndio wa kwanza kulitangaza vibaya Jeshi la Polisi Kwa wananchi wakishaingia madarakani. Sio wao bali wale walioko Nyuma ya pazia ndio wanaoratibu mikakati Hiyo ya mbali sana. Inauofarakanisha jamii na vyombo vyao vya Dola.

Kama kweli wale watawala wanapenda haki basi waweke katiba inayolitenganisha Jeshi la Polisi na Siasa zinazowabeba wezi wa kura ndani ya CCM. Mwizi wa kura akamatwe kama wezi wengine . Imani ya wananchi Kwa vyombo vya Dola itarudi Bila hata kutumia nguvu kubwa na Polisi watajikita kwenye majukumu Yao ya msingi na pia Majeshi mengine.
Hali kadhalika vyombo vingine vya Dola . Mfano waliopouza mboga zote za Wanyama waliwapa wale migambo wa hifadhi kuwa Jeshi usu . Lengo ni kuwalinda Waarabu na Wazungu wanaosafrisha Wanyama wetu na kuwadhibiti Watanganyika wasifuge hata kuku wa kienyeji kwenye maeneo ya jirani .
Ni mipango ya mbali sana kwa malengo ya makabaila na mabepari na wanyonyaji wa Kizungu na kiarabu kushirikiana na watawala.
 
Waislamu wakiendekezwa wataharibu hii nchi, kwanini wasihesabiane huko miskitini na madrasa?

Vyombo vya ulinzi fanyeni kazi yenu.

Dini ya mudi ndio chanzo cha ugaidi duniani

Ni kweli waisalamu kote duniani ni watu wa kudhibitiwa kwa nguvu, maana ukicheka nao unakaribisha ugaidi.

Ndiyo maana unaona Guantanamo ilianzishwa kwa ajili yao. Ndiyo maana unaona Palestine wanateketezwa na Israel bila kuangalia sura zao, umri wao na jinsia yao ili Hamas isije kufufuka tena.

Nyinyi mbona mnajulikana

1715490267427.png

118. Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.

1715490304127.png

119. Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo vifuani.

1715490349409.png

120. Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.

(Qur-aan 3: 118-120)
 
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.

Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.

Mwenye kufahamu basi atufafanulie.

View attachment 2985918
Wanataka kujenga misikiti mingine zaidi.
 
Huwa watendaji wetu wanaangalia nani yupo juu.

That is bad practice.
 
Kujenga makanisa au misikiti ni jambo zuri sana.

Tena Mimi ningekuja mkuu wa nchi ningekenga misikiti na makanisa sambamba na Shule .

Ushoga ,ugaidi na Biashara za madawa ya kulevya na Biashara haramu za binadamu zinatokana na misaada Toka Ulaya na Uarabuni kupitia misaada ya Ujenzi wa Nyumba za Ibada.

Hata Waislam wanafarakana kutokana na misaada ya kujengewa misikiti Toka Uarabuni.

Ningekua Rais misaada yote lazima ipitie serikalini . Kama hawataki tutajenga Kwa nguvu zetu wenyewe.

Magufuli alidhibiti ugaidi Kwa kudhibiti pesa Toka nje na Biashara haramu za m as dawa ya kulevya mana ndizo zinazofadhili ugaidi .
Kwa upande sikubaliani na mawazo yako, upande naukubali.
Serikali kuchukuwa jukumu la kujenga nyumba za ibada za kidini maana yake hizo dini zimekuwa mali ya serikali.
Serikali kujenga makanisa/misikiti hakuzuii hayo mabaya unayodhani wewe kuwa yanatokana na fedha toka nje.

Utakuwa na sababu zingine, lakini hayo uliyoyataja ya ushoga na kadhalika, hayana uhusiano wowote na ujenzi wa makanisa na misikiti.

Serikali ni lazima isiingize dini katika shughuli zake za kuhudumia watu wenye dini zote na wasiokuwa na dini. Dini ni maswala ya imani za watu binafsi, zibaki huko huko wanakokwenda kuhudumiwa kiroho; serikali haina lolote la kufanya ili kuwapeleka watu wake peponi.
Serikali ishughulikie maswala ya hapa hapa duniani, siyo ya mbinguni au jehenam.
 
Huwa watendaji wetu wanaangalia nani yupo juu.

That is bad practice.
And that's what differentiates a leader from all other sycophants.
Huyu waziri wa elimu, mwenye heshima kabisa, anakubali vipi kuingizwa ujinga huu kwenye maswala ya elimu ya nchi?
 
Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.

Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?

Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Hayo masomo yanafundishwa kama professional studies, dini au lugha?

Why sasa kuwe na msisitizo hadi TAMISEMI kuhusishwa kuandika barua rasmi ambayo inaleta public panick kuhusu nini kinaendelea kati ya serikali na taasisi za kidini?

Kimsingi kuna kitu hakipo sawa na ndio maana raia wema na wazalendo wanahoji kwa mustakabali wa taifa sio hisia zao.
 
Sijaona ubaya wa hii barua, kwani kuna ubaya gani kujua idadi ya wanafunzi na walimu wa dini ya kiislamu katika shule za msingi na sekondari ili taasisi husika zipate kujua kuwa kuna uwiano wa kutosha au kutahitajika walimu wa ziada ili watoto wa kiislamu wapate mafundisho ya dini yao kwa uhakika. Mimi ningeomba zoezi hilo lifanywe nchi nzima ili taasisi kama Bakwata ipate kutayarisha walimu na masomo yenye tija kwa watoto wa kiislamu, masomo ya dini kwa watoto wa kiislamu yamekuwa ni mtihani kutokana na wanafunzi kutumia muda mwingi kwenye elimu ya sekula, bora vijana wafuatwe hukohuko mashuleni ili wapate somo la dini japo mara moja kwa wiki.
Shule za kiislam zipo why wasiende huko wakapeleke mitaala yao na kuanza kufundisha. Na wanafunzi wa shule mchanganyiko waendelee kupata masomo ya kawaida?

Hivi umeshawahi sikia kanisa katoliki au taasisi ya kikristo wanataka takwimu za wanafunzi wa kiislam ili kuwafundisha masomo ya Dini, si huwa wanaenda straight kwenye seminary schools na kama wakileta program za masomo shule za kawaida utaona wanatumia njia za kawaida.
 
Hakuna kitu chochote !
Waislamu na Wakristo wa Nchi hii ni ndugu tangu Nyinyi nyote humu jf hamjazaliwa !

Kwahiyo hawawezi kuja kugombanishwa kwa sababu zozote zile !
Mtagombana kwenye siasa zenu huko lakini kwenye Dini hamtawapata wa kugombana ! πŸ™
Sasa waliotoa huo waraka unajua wana dhamira gani?na kwa nini hakiingia rais kutoka upande huo tu ndo sarakasi hizi zinaanzaga?
 
Sasa waliotoa huo waraka unajua wana dhamira gani?na kwa nini hakiingia rais kutoka upande huo tu ndo sarakasi hizi zinaanzaga?
Ndio maana tunasema hizo Sarakasi zao wapenda mifarakano ni za bure tu !
Watu wanataka Katiba mpya bora ! πŸ™

Mambo ya Dini yeyote atakaye tawala ni sawa tu maana hakuna atakayeletewa chakula nyumbani kwake kutoka kwa mtawala wa Dini yake !

Wakubwa wanapogongeana glass za Champagne 🍾 huwa hawaulizani Dini zao !

Sisi akina Kalimanzila ndio tunajifanya watu wa Dini sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™

Kazi bure kabisa ! Mimi hawanipati huko ! πŸ˜…πŸ™
 
Wewe ndo unawaza ivyo ila wenzio wanataka tanzania iwe nchi ya kidini kabisa ndo maana wanataka idadi yao iwe verified kabisa ili maamuzi yafanyike kidini.Chakushangaza kuna watu hawana dini ila hawana purukushani nyingi na wako wengi ila hawana matatizo
 
Back
Top Bottom