Serikali yasitisha Kibali cha Kuhesabu Wanafunzi na Walimu Waislamu shule za Msingi na Sekondari

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
161
619
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.

Hadi sasa bado haijajulikana kwanini iliruhusu jambo hili lifanyike.

Barua ipo hapa chini.

1000043549.jpg

Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, pia rejea barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024

Nawajulisha kuwa kibali cha kukusanya takwimu za wanafunzi na walimu waislamu kwa ajili ya kupanga utaratibu mzuri wa kufundisha somo la Elimu ya Dini ya Kiisilam (EDK) ili kupunguza mmonyoko wa maadili katika jamii kimesitishwa na barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024 imefutwa.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Pia soma==> Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni
 
View attachment 2992334

Nawatakia utekelezaji mwema
wajomba wa dp world wamestukiwa baada ya wadau kuhoji kulikoni,hivi huyu maza yukoje
 
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.

Hadi sasa bado haijajulikana kwanini iliruhusu jambo hili lifanyike.

Barua ipo hapa chini.

View attachment 2992334
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, pia rejea barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024

Nawajulisha kuwa kibali cha kukusanya takwimu za wanafunzi na walimu waislamu kwa ajili ya kupanga utaratibu mzuri wa kufundisha somo la Elimu ya Dini ya Kiisilam (EDK) ili kupunguza mmonyoko wa maadili katika jamii kimesitishwa na barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024 imefutwa.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Pia soma==> Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni
Ni matokeo ya wajinga kupata madaraka
"Changamoto kubwa iliyopo katika ulimwengu wa sasa ni kwamba watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo, watu wasio na akili wamepewa mamlaka ya kuwatawala Watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."

Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani.
 
Haya suala la dini hili hapa mezani nimeanza kutoana akili na kutukanana kutafuata.
Ila yote yanatokana na dhana mbaya na chuki miongoni mwenu na dini zenu.
Asa jambo la kukusanya idadi ya wanafunzi na walimu waislamu lina uhusiano gani na mkuu wetu.
huo mchakato iliruhusiwa na RAS ambaye ni mkristo lakini baada ya mchakato kuzuiliwa unaanza kumlaumu mkuu kisa tu ni muislamu huku chini hamjafuatilia undani wake uko vipi....

Yaani nyie ni mwendo wa kudhihirisha chuki zenu miongoni mwenu halafu baadae mnaleta unafiki Kuwa watz ni wamoja wakati kuna watu licha ya kuzidiwa kiidadi bado wanatamani wangeishi pekeao na kuhold kila kitu katika nchi ya wengi....

Hata kama ukawa na Phd au ni Prof. then bado uko na mawazo mgando kwenye ishu kama hizi we ni kiasi tu na bado hujaelimika ijapokuwa umesoma....

Stop nonsense
 
RAS yeye anapewa tu oda na mkuu wake yeye anatekeleza
 
Waislamu ni tatizo popote watakapo kuwepo
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
Haya suala la dini hili hapa mezani nimeanza kutoana akili na kutukanana kutafuata.
Ila yote yanatokana na dhana mbaya na chuki miongoni mwenu na dini zenu.
Asa jambo la kukusanya idadi ya wanafunzi na walimu waislamu lina uhusiano gani na mkuu wetu.
huo mchakato iliruhusiwa na RAS ambaye ni mkristo lakini baada ya mchakato kuzuiliwa unaanza kumlaumu mkuu kisa tu ni muislamu huku chini hamjafuatilia undani wake uko vipi....

Yaani nyie ni mwendo wa kudhihirisha chuki zenu miongoni mwenu halafu baadae mnaleta unafiki Kuwa watz ni wamoja wakati kuna watu licha ya kuzidiwa kiidadi bado wanatamani wangeishi pekeao na kuhold kila kitu katika nchi ya wengi....

Hata kama ukawa na Phd au ni Prof. then bado uko na mawazo mgando kwenye ishu kama hizi we ni kiasi tu na bado hujaelimika ijapokuwa umesoma....

Stop nonsense
'Agent-Principal Relationship.'

Kumbuka kwamba Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) huwa anateuliwa moja kwa moja na Rais wa nchi hii ya Tanzania.

'Yale afanyayo RAS ndio afanyayo Rais (mteule wa RAS)'

RAS yeye anapewa tu oda na mkuu wake yeye anatekeleza
Absolutely true!

Endapo kama Mteuaji amechukizwa na kitendo kilichofanywa na mtu wake aliyemteua, basi mpaka sasa angekuwa tayari ameshamfukuza kazi (kutengua uteuzi wake) ili Mteuaji kuonyesha kwamba amejitenga au anapinga vitendo viovu vilivyofanywa na Mteule wake.

'Silence means admit.'
 
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.

Hadi sasa bado haijajulikana kwanini iliruhusu jambo hili lifanyike.

Barua ipo hapa chini.

View attachment 2992334
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, pia rejea barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024

Nawajulisha kuwa kibali cha kukusanya takwimu za wanafunzi na walimu waislamu kwa ajili ya kupanga utaratibu mzuri wa kufundisha somo la Elimu ya Dini ya Kiisilam (EDK) ili kupunguza mmonyoko wa maadili katika jamii kimesitishwa na barua Kumb. Na FA.67/225/01/32 ya tarehe 23 Aprili, 2024 imefutwa.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Pia soma==> Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni
Huu ujinga unaofanya, endelea nao.
 
Back
Top Bottom