Hiii designated inaendelea OctoberKatika ubora wako. Ntajitahidi niwajoin
Hiyo person of interest aseee ni Kali sanaaInto the badlands
Person of interest
Queen of the south
Shooter
The preacher
Alafu iliisha kizembeInto the badlands
Person of interest
Queen of the south
Shooter
The preacher
Nimefurahi mno
Iiiiii serie inazngua
Serie moja yakitoto sanaKwa kweli sijaichek. But niliambiwa ni swaga za madude ya ajabu
Hiiiiiii I'd niliambiwa umekufa mkuuu...kumbe Upo hai....Msalimie Bob Lee Swagger
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Mkuu yani mimi kakipande nikiwa sijaelewaaa narudia movie nzima..maana huwa nahisi Kuna kitu nimemissNiliwaambia mm hawakuelewa,ina story nzur ila inakosa kakiti cha kuunganisha matukio na uhalisia,ndio ilichonibore hicho,bora ww umeona kama mm,mi hua naangalia muv kwa umakini kama nafanya operation ya uzaz,hata muhusika akiangalia kamera kidgo yaan sekunde moja nitajua,
KAma mdau wa ujasusi thn akili nyingi aiseeee Bourne series is the best aseeeKijasus asee ndo igonjwa wng japo hua naangalia na nyingine nyingine kam kawaida
Fanya mpango ucheki..Nimeiona Ndio inaanza anza. Nimesoma story ake nimeipenda,nisubiri ijae jae
Ulaya vibibi na vibabu huwa vinaenda movie theatre kucheki movie.....long time sijapata muda wa kucheki hizi vitu,,kweli priorities zinabadilika wakati nilikua shabiki namba moja wa movies & series sipitwi
Ipiiii??Alafu iliisha kizembe
Ipi hiyo??Serie moja yakitoto sana
Kuna yule mlinzi wa rais(secret service) anaitwa Mike nimependa sanaa alivyoact aseee jamaa kakaba sana...Mazee designated survivor mnaionaje...kwangu mim ni one of the best series kwa jinsi ilivyochezwa kiakili sana ..mtiririko wa matukio, kusalitiana kisiasa na kiuongozi daah noma sanaa ...kama kuna series nyingine za aina hii ..naomben kujua mazee, series ni kali sanaa.
#live_long_D.S
Sent using Jamii Forums mobile app
Blindspot Kali ila sio sanaa bhnaa mimi nionavyo....
Person of interests yaakina johnIpiiii??
Hiiii mpaka wa10 bwanaaaaa season2mkae mkao wa kula![]()