Series (Special thread)

Series (Special thread)

Shooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
Mkuu si wanafupisha, yaani ulitaka waoneshe kila tukio!?
Kwa mfano hapo kwa Memphis najua unaongelea jinsi alivotokea ujerumani ghafla, yaani ulitaka waoneshe kuanzia anasafiri kutoka U.S hadi anafika Germany kama ambavyo wanafanya bongo movie? yaani almost dk 5 tuone mtu yupo safarini au!?

BTW series yenyewe episode 13 tu kwa hiyo lazima iende fastafasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Shooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
Yeah ni kweli ila naikubali...ila next time labda watajirekebisha
9dc76ebccb24306b88a03a88aab4b596.jpg

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Jamani jamani yaani unanishauri niangalie mazombie kabisaaaa!!!! Siwezi kwakweli.
The walking dead nmeipenda sana hapa nasubiri iende ende kdgo nipakua kwa wing,siwez acha kuipakua series ambay nimetoka nayozaman mpk leo,naielewa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom