Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sijui utamu wa namna gani unaoongelea ila watu wa namna yenu hamjaangalia BREAKING BAD ndo maana.
Unalinganishaje tamthilia zenye ladha mbili tofauti!!??..... The 100 ni historic na science fiction... Breaking Bad ni drama na narcotics.... Unataka kufananisha netball na football kisa yote ni michezo eti!!???.... Linganisha hiyo breaking bad na Gotham city, El chapo, the wire, Narco ndio zenye aina moja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom