Nilisema pia. Niliishia episode ya 4, imekua boring, nashindwa kumaliza episode for 2 days.Hii series ya “Lucky” ni nzuri upande wa story line ila imeniboa ina viji uongo ungo sana😀, inapoteza uhalisia kama rates naipa 7/10
Siioni netflix 🥹Anza na obsession
Pakua Pantheon mzee utanishukuru. Na X-Men 97'. Pia the legend of Vox Machina. Oh, pamoja na Blue eye samurai.Operation nimeanza leo, hizi ni ambazo nimekwishapakua.... Naombeni orodha
View attachment 3652073
Creature commandos, Love death and robots, Secret level(hizi mbili za mwisho ni anthologies)Pantheon na xm men S1. Nishatazama, labda hapo kwa voc machina. Nipe zingine hata kama ni anime or animation
Mimi sio mtaalam wa series. Ukiondoa hizi maarufu ambazo kila mtu kaangalia, labda nikushauri "Ozark" tu.Creature comando tayari... Nimemiss the bride na crush wake Victor😄
Btw hizo zingine nitazipakua. Nipe orodha nyingine ambayo si animation series
Wewe ni mpenzi wa movies zipi?Wakuu Nipo kwenye mission ya kupakua series tofauti tofauti ambazo sijazioni hasi nijaze simu yangu. Nimetenga storage GB 200 kwa ajili ya series tu. Tafadhali naombeni kila mmoja anipe orodha ya series zake bomba alizowahi kuangalia. Kama sijaitazama nitaipakua.
Naombeni sana, reason ni kua anytime naweza kwenda eneo ambalo ni very remote network ya kupakua muvi ikawa shida
Nenda ka i download kwenye website tuSiioni netflix 🥹
Hawa jamaa walifanya mchezo wa "couple swaps " baadaye kikawalamba, storyline nzuri ichekini!
Mimi nimewapenda nimekaa naangalia wanavyofanya inavutia sana! Zipo nyingi nenda kazicheki hapo!This is amazing super amazing. Sie twasubiri na GB zetu tukamue tu bureee 😄😄😄 kumbe watu wamefanya kazi kubwaa
Mwenzako huyo ni lesbianSawa unaweza kua sahihi kwa upande wako ila nimeangalia movies nyingi sana kuliko unavyodhani mkuu tena za nje na Africa hapa hapa kali tu sio bongo movies wala sijui othaman bey, nikikutumia picha ya mzigo nilio nao hapa kwenye external na history na whitelists za accounts zangu za Netflix na Prime Video unaweza shangaa huenda hata nyingine hujawahi kuzi tazama...
Mimi mwenyewe ilinishinda nikabidi niwe napeleka mbele ili nione labda huko iko Bomba ila wapi naona mauzauza tuIssue sio ASHUR..
Ashur si kama bathiatus tu au auvidius,vibius,titus calavius au appolinarie humu amecheza kama DOMINUS....
Tatizo ni ACHILLIA hakuna gladiator wa kike kwenye ludus yoyote ya kirumi so audience waliipa mgongo ndio maana wameicancel...
hata mimi nilikereka unakuaje bingwa mwanamke yan masela wakikubana wanakupiga vidole mara wachane chupi,yan haikuwa na ile mikiki kama SPARTACUS