Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hello wadau. kwa Ambazo mim nimecheki zifuatazo zipogo kichwani mpaka kesho. Kama umeiskiaskia mojawapo na unajifkiria usisite.
1.Breaking bad
2.Game of thrones
3.Jumong
4.House of cards
5.Into the badlands
6.Shameless
7.13 reasons why
8.Peaky blinders
9.Taboo
10.Walking dead
11.Westworld
12.Power

Jay

Umenigusa mkuu.

Breaking bad.

Shameless.

My favorite ever.
 
Wakati unaianza, Breaking Bad inaweza kukuboa, especially episode ya kwanza! Hata hivyo, iki-take off, unless uwe allergic na series mzuri ndipo unaweza usiipende!

Sure.. the first time naiangalia niliacha, jamaa angu akanambia nivumile the first episode iishe.... ebhana eeeeh , it became the best series i have ever watched, the same to SHAMELESS
 
Sure.. the first time naiangalia niliacha, jamaa angu akanambia nivumile the first episode iishe.... ebhana eeeeh , it became the best series i have ever watched, the same to SHAMELESS
Mimi niliwahi kuiacha zaidi ya mara mbili lakini baadae ndipo nikaja kufahamu ni kwanini ni Top Rated Series!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom