Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,112
Karibu mama.Katika ubora wako. Ntajitahidi niwajoin
Karibu mama.Katika ubora wako. Ntajitahidi niwajoin
Sikuiona my dear, nimemmiss sana lety maana sio kwa kichwa kile kibovu!Kwahiyo espy hujaona nimekuambia habari ya good behavior???
Mhhh sijui kwa simu yako setting zake ila yangu Samsung Mega mafile nayapata ktk My files alaf folder la downloadMkuu ina jisave kule kule kweny downloads za terurrium tu. Lakin kune my file kpengele cha downloads inakuwa kama file lakin haioneshi kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi mnoSafi sana, nimeona series zangu nyingi pendwa zinarudi.
Aisee nimemmiss sana Letty bibi mipango miji 😛 😛 😛Sikuiona my dear, nimemmiss sana lety maana sio kwa kichwa kile kibovu!
Good behavior ina maudhui gani..Kwahiyo espy hujaona nimekuambia habari ya good behavior???
Gotham inahusu nini??
Drama...na crime kama sikosei.Good behavior ina maudhui gani..
Ni nzuri hiyo,kuna dead of summer,check the vampire diaries,ipo mpya the mist, na prime suspect 1973Nimepakua Walking Dead... Nipo episode ya 3 daaah mizombi si mizombi daaah.... Nataka kujaribu series za kutisha tisha.... Siziangaliagi.... Vipi hii walking dead inatisha kweli!!?? Maana naona mizombi zombie ambayo Hata action haiwezi kufanya....
Vampire diaries niliangalia mpaka season 4.. Nikaipotezea.... Ngoja nikomae kwanza na hawa WAFU WATEMBEZI.... Nione wanaendajeNi nzuri hiyo,kuna dead of summer,check the vampire diaries,ipo mpya the mist, na prime suspect 1973
The Mist si ndio ina mijamaaa ulimi kama ya nyoka nyoka flani..... Nimecheki episode moja...Ni nzuri hiyo,kuna dead of summer,check the vampire diaries,ipo mpya the mist, na prime suspect 1973
Aisee TVD inachosha,unapodhani inaisha kumbe Ndio inaanza. Nkaiweka chiniVampire diaries niliangalia mpaka season 4.. Nikaipotezea.... Ngoja nikomae kwanza na hawa WAFU WATEMBEZI.... Nione wanaendaje
Kwa kweli sijaichek. But niliambiwa ni swaga za madude ya ajabuThe Mist si ndio ina mijamaaa ulimi kama ya nyoka nyoka flani..... Nimecheki episode moja...
Kuna mtu humu aliniambia nicheki the mist, nikajua boonge la kitu, ile inaanza tu najionea malue lue nikaitupilia mbali.Ni nzuri hiyo,kuna dead of summer,check the vampire diaries,ipo mpya the mist, na prime suspect 1973
Season 2 lini inatoka??Am now watching shooter,it looks interesting
Msalimie Bob Lee SwaggerAm now watching shooter,it looks interesting
Nimeona kama imetokaSeason 2 lini inatoka??
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Msalimie Bob Lee Swagger
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
yuko na Mr isaac