Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimepakua Walking Dead... Nipo episode ya 3 daaah mizombi si mizombi daaah.... Nataka kujaribu series za kutisha tisha.... Siziangaliagi.... Vipi hii walking dead inatisha kweli!!?? Maana naona mizombi zombie ambayo Hata action haiwezi kufanya....
Hiyo iko poa sana fuatilia story yake tu.

Hans Pol
 
Season 2 lini inatoka??

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Shooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
 
Ndio nimeangalia episode moja nkaona inanizogoa... Naangali walking dead naona mizombi Hata kumove ni shida sasa sijui mbeleni huko yataongeza Spidi sijui
We jamaa Walking Dead ndio Top series kama unapenda Zombie
 
Shooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
Niliwaambia mm hawakuelewa,ina story nzur ila inakosa kakiti cha kuunganisha matukio na uhalisia,ndio ilichonibore hicho,bora ww umeona kama mm,mi hua naangalia muv kwa umakini kama nafanya operation ya uzaz,hata muhusika akiangalia kamera kidgo yaan sekunde moja nitajua,
 
Baasi siicheck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom