Ichek nzr sana,km ni mpenz wa series hzo lknKwa alieangalia the arrangement anitonye iko vizuri au ntapoteza tu MB zangu
I hope ashaipakua kitambo.
Wale wa The Last Ship jamani tar 20 ngoma inaruka hewaniii
Good then, enjoy.Nishaipakua niko tayari episode ya 5
Aye XOAye aye Sir
Ahhh iyo nmeyona iyoo. ...naivutia kasi kimtindoo...Kuna TV series Naona inaanza inaitwaje Mr. Mercedes Nadhani itakuwa nzuri I like the storyline.
Hata mie Nina ivutia kasiii
Nomaa babaa. .ilipofikaa sio mchezoo. ..Salvation wiki hii zimetoka episode 3.
Me sjaielewaga ata series ...Kwan inahusu nin zaidWale wa The Last Ship jamani tar 20 ngoma inaruka hewaniii
Hahaha ulikuwa wap siku zote ..saiv nakimbizana na season 3 apaa. Ni fire mzee..