evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Quantico niliangalia season1 nikaona utoto na uhindi mwngi....Mara timeingizwa ktk akili mtu anawaza Mara aaahmadi ktk kozi nikawa nikitaka kuangalia naandaa na panadol maana kichwa lazima kiume...nikaona ni fujo sasa....ahhhh hamna kitu muleeeeHata haieleweki Yaani...kila Ndio tumekomaa nayo hivo hivo. Tunausbiri msimu wa 3 tuone watatoa boko tena
Mlioielewa mmeilewaje???
