Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Achaga tu dear,nayapenda sana lakini naogopa
Achaga tu dear,nayapenda sana lakini naogopa
Unayapenda na kuyaogopa pia!! Safi sanaAchaga tu dear,nayapenda sana lakini naogopa
Nadhani rateshivi 24 legacy imekua canselled kwa sababu gan
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
Nimeiona Ndio inaanza anza. Nimesoma story ake nimeipenda,nisubiri ijae jae
Hapo the good fight Ndio pamenikosha mie,nimemmiss Lucca jamaniOther taste
- The Good Fight 2017
Binafsi nimependa story, sio yale mazombie japo nayo ni part ya story.The walking dead sio series ya kutisha km watu wengi wanavyodhani ila mpangilio wa story yake umekaa vizuri na ndio wengi wanapoipenda... Ila sio ya kutisha ki vile.. Kuna baadhi ya episodes unakuta hata hao mazombie ukawaona kwa nadra sana ila story ilivyo inakufanya usahau kabisa kuhusu hayo madude..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nomaaa sana mwangu ..wee munyewe utafrai.Nimeiona Ndio inaanza anza. Nimesoma story ake nimeipenda,nisubiri ijae jae
Hii ipoje
Yaani najikazaje kuangalia walking dead..... Mara niache Mara narudi tenaKweli hayo madude i vitu vizuri!! Haya bwana.
Basi sawaaaa.... Ngoja niendelee niliishia episode ya 3 nikaanza kuangalia QUEEN SUGARThe walking dead sio series ya kutisha km watu wengi wanavyodhani ila mpangilio wa story yake umekaa vizuri na ndio wengi wanapoipenda... Ila sio ya kutisha ki vile.. Kuna baadhi ya episodes unakuta hata hao mazombie ukawaona kwa nadra sana ila story ilivyo inakufanya usahau kabisa kuhusu hayo madude..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni movies au seriesOther taste....
- Snowfall 2017
- Big Little Lies 2017
- Insecure 2016
- Hell On Wheels 2011
- Hap and Leonard 2016
- Shameless (US)
- Girls 2012
- The Affair 2014
- Halt and Catch Fire 2014
- The Good Fight 2017
Ndo imetoka mkuu. Torrent bado awajaiweka ila ni ya kichawi chawi cheki trailer ake YouTubeHii ipoje