Series (Special thread)

How to get away with murder
Tyrant
Game of thrones
Billions
Breaking bad
Last kingdom
American odysious
Power
Homeland
In to the badlands
Blood and oil
Slave hunters
Da vinci demons
Narcos seal
Gang related
x company
Witches of the end
Salemn
 
1.Vikings
2.Game of thrones
3. Devince demon
My top three series
Game of thrones na da vinci naunga mkono vikings nilitazama season 1 na 2 kidogo.
Inaelekea we mpenzi wa series zenye plot za kizamani kama mimi jaribu kutazama salamn na last kingdom
 
Investigation Discovery ya Dr. Jane. Ipo Dstv, inahusu "autopsy" kwa watu wanaokufa bila maelezo, anatafuta sababu za vivo kwa kutumbua maiti mbali mbali anachambua mwili wa binadamu mpaka anapata sababu ya kifo. Tena hizi Si za kuigiza ni "actual"
Hiyo hata azam tv ipo kwenye idx huyo huyo dr. Jane.
Lakini zaidi napenda ile blood murderers, dissappeared special, web of liers, swamp murderers, murder in town, castle murderers zote ni true crime investigation series zinaonywesha idx
 
Game of thrones na da vinci naunga mkono vikings nilitazama season 1 na 2 kidogo.
Inaelekea we mpenzi wa series zenye plot za kizamani kama mimi jaribu kutazama salamn na last kingdom
Ebana Game of thrones acha kabisa ni hatareeee nimesha malizia mpaka season 6 (seven inatoka lini?)
 
Ebana Game of thrones acha kabisa ni hatareeee nimesha malizia mpaka season 6 (seven inatoka lini?)
Hata mimi nishamaliza itakuwa mwakani mwezi wa sita si unajua mpaka jamaa aandike kitabu cha the seven kingdoms then team ya game of thrones wakitengenezee script maana mambo mengine uwa wanayabadili tofauti na kwenye kitabu hasa vifo vya ma characters.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…