Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jamaa ni hatariiii,mi mwenyewee nakipenda hicho kipande ile mbayaa,na jamaa linavyojua kutembea kwa mikwalaaaa
Jamaa kapiga paper za Police Academy ili atimize ndoto zake za kuwa polisi lakini mara zote hizo akadunda; akaona isiwe taabu; ngoja nikawe CO!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom