Nitumie screenshot na ionyeshe web address ili nijue tatizo liko wapi.Nami pia yametokea hayo maandishi ya kiarabu, sasa tunafanyaje mkuu?
Boss inaleta maandishi pale una bofya kwa ajili ya ku download yakielekeza kuw u log in kwa Member..
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
24hrs haichoshi kuitazama
Ninajaribu kutaka kukutumia attachment ya screen shot ninashindwa "inasema content image do not match file extension"Nitumie screenshot na ionyeshe web address ili nijue tatizo liko wapi.
Make sure format ya picha iwe inaishia na jpg au png ndo itakubali kuattach mkuuNinajaribu kutaka kukutumia attachment ya screen shot ninashindwa "inasema content image do not match file extension"
ukitaka kuielewa game of throne ujitahidi isikupite hta scene moja yaan ukiongea na simu weka pause nk na maneno uyaelewe vizuri sana wanayozungumza ni vizuri ukadownload na subtitle yake ili uielewe zaidi na season 2 mwishoni ndo inaamza kuchanganya ni moja kati ya seriez kari sana km ilipoishia sa hv JON SNOW kama kafa najiuliza itakuaje na jeshi la wafu ndo linazidi kukua nahisi utamu unazidi kukolea
Wapo epsode 3S03e01 naona wapo kasi
24 hours..Anayefahamu series za kimalekani zinazohusu mambo ya FBI na nzuri kutizama anisaidie plz
Download kupitia vlc.. chukua latest versionMkuu naomba unielekeze jinsi ya kudownload na subtitle cz mara nyingi huwa nadownload bila subtitle
nikita, the americansAnayefahamu series za kimalekani zinazohusu mambo ya FBI na nzuri kutizama anisaidie plz