Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tafuta moja hivi inahitwa the last ship,inahusu ugonjwa fulani hivi wa mlipuko na madaktari na watu mbalimbali wanavyohaha kupata hiyo dawa.#Lipingu
 
Grey's anatomy is the best series, kama unapenda mambo ya udaktari.
 
Shikamoo wakubwa jaman kuna bint anatafuta kazi ya ndan sehem yoyote yupo tayar kwenda ila ye yupo mbeya ni bint mwenye umri wa miaka 20 kutokana na ugum wa maisha ktk family hivyo kwa anaetafuta maichana yupo
Ndugu uliza uelekezwe njia ya kwenda, huku umepotea
 
Wakuu naombeni link ya series ya kikorea slight shot ilikua inaoneshwa ITV
 
Kylie xy ni nzuri inahusu mambo ya tafiti za kisayans kwa binadamu ila sasa imeishia s03 hawajatoa tena zingine
 
"Nyoka ukishamuua lazima tu atatingishika mkia hata kama amekufa, unaweza ukadhani ni mzima kumbe ameshakufa"

John Pombe Magufuli
 
Investigation Discovery ya Dr. Jane. Ipo Dstv, inahusu "autopsy" kwa watu wanaokufa bila maelezo, anatafuta sababu za vivo kwa kutumbua maiti mbali mbali anachambua mwili wa binadamu mpaka anapata sababu ya kifo. Tena hizi Si za kuigiza ni "actual"
 
NumbeRs..
It is an Epic series that u wont get BoreD while watching..
Key concept ya hii series ni kuonyesha Namna ambavyo MATHEMATICS inavyotumika ktk kutafuta Majawabu,kufumbua matatizo,kubashiri Matukio,Kurahisisha utatuzi wa vitu vigumu Hasa hasa vya kiuhalifu,Kijamii,Kitaaluma n.k,Mathematics ni pana kiasi kikubwa Sanaa
Main character ni mwana ana asili ya KiYAHuDi,Genius...
 
Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
Dah!minashindwaga kufatilia tatizo lugha!dah

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Dah MI napenda series za kijasusi kama 24,nikita na iris. Kama unazo nyingine nisaidie
Same taste,
Check also Agent X, The Event, Legends of Tomorrow(huku wapo Schofield na Lincoline wa prison break)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom