Series (Special thread)

Series (Special thread)

Acha tu kiwe kihere here maana ni booonge la searies, hautamani kuiacha ukiianza.

Umesema hadi lini???
Hahaaha!! Pole sana... muda uliobaki sio mrefu sana; bado miezi 9 na wiki moja!!!
 
Peng ndie aliyekua anasababisha yatokee makundi kule china, ndio maana raisi alimuona takahaya mzee wa mitego baharini kua ndio muovu, lakini takahaya lengo lake ilikua ni kulipiza kisasi tu. Alipoujua ukweli hakutaka tena kua pirate
Kwani takahaya ni wa china au Japan?
 
Sasa atalipiza kwa nani ikiwa alofanya baba yake afe nae aliuawa?
atalipiza kwa anti america wote watakaokuja, muangalie yule dogo walomchukua kule kwenye harbour, jina limenitoka. Saivi yuko tayari kwenda kwenye mission yoyote
 
Mzigo umerudi huo wadau
 
Attachments

  • 1473882978588.png
    1473882978588.png
    32.2 KB · Views: 57
Uliiangali
Hapa nipo na wewe kwa 100%!!

Hii bhana nilijitahidi niipende lakini yenyewe haikuwa na upendo kabisa kwangu... nikarejea msemo wa wahenga; mpende akupandaae, asiyekupenda achana nae!!
Uliangalia mpaka wapi? Mwanzo ipo boring na trailer yake haivutii ila ukiendelea kuiangalia ni nzuri balaa jamaa yupo genious. Walipata award nyingi kwa hiyo series na ilikuwa popular America
 
Ingawaje ilinishinda but I knew inawezekana ile boring ni ule mwanzo wake tu so; niliendelea kui-download kwa imani ile ile kwamba huenda mbele mzuri! Unfortunately, ckupata tena fursa ya kuicheki tena! But umenikumbusha... they're on way to winter season in US ambapo kunakuwa na ukame wa shows! Nitaijaribu tena wakati nasubiria msimu uanze manake hiki kipindi cha kusubiria kinaboaga sana so, mtu unakula chochote!!
 
Ipo hewani leo,km kawa mwanjo mwanjo tu wa season 2 umeanza na utamu wake
Hahahaa!! Hizi bhana mie huwa nazisubiria ziongezeke ongezeke! Naonaga taabu sana leo nakatizwa uhondo halafu nisubirie wiki mzima! Kwa mfano... hapa nilikuwa nazisubiria Suit, Power, House of Cards na Tyrant! Nadhani zote sasa zimeisha (angalau session ya kwanza) kwahiyo wiki hii zote nazishusha naanza kuzifungia kazi! Hadi nazimaliza, Blindspot nayo itakuwa imeisha session ya kwanza... hapo tutakuwa tunakaribia december!
 
Hahahaa!haya mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom