Series (Special thread)

Series (Special thread)

Last ship is one hell of a series. Ila huku wanakoelekea siko. Let's wait for season 4
na season 3 ilipoisha, kama kawaida chandler anaamua kuacha majukumu, sijui kama atarudi kwenye ship au laa.
pia tumemshuhudia tex akipata ajali. Let wait for season 4
 
Yaani its fireeeeee!! Ila kila season inaishia kwa kuuawa kwa mtu ninaempenda
Ilipomaliza season ya kwanza, chandler alishauriwa na baba ake arudi kwenye meli, ilipomaliza ya pili mr presidaa alimshauri arudi kwenye mission. Saivi sijui nani atamshauri arudi baada kuamua kujivua madaraka. Chandler namkubali sana
 
TeX kafa....hiii kurudi hadi mwakani atoto
Yeah tex anamuokoa chandler, anapigwa bastola ya tumbo, otherwise mission ya mwisho ya chandler isingefanikiwa bila ya tex, na ndo inapoishia. Hatujui kua atafanyiwa matibabu au laa but amepata jeraha kubwa ya ile bastola. Muangalia tex kwenye season 3 episode ya 12 na 13, jamaa anajua na anapopewa taarifa za kifo cha dr scott anasikitika sana
 
Yaani natamani hii last ship iendelee kesho, any updates ya lini wanatoa season4?
Mnh! Hicho sasa kiherere!! Yaani ndo kwanza umemaliza Season 3 mara hii unaulizia Season 4??!! Anyway, inasemekana kwamba TNT wame-renew for season nadhani official report haijatoka. Na kama ni kweli wame-renew (I am sure wata-renew tu) basi Season IV kama kawaida itakuwa June 2017; kwahiyo bado sana!!! Tafuta series zingine kali ambazo hujawahi kuziangalia kwa ajili ya kuvutia muda! Niliwahi kufanya hivi kwa kutumia Suit na House Cards na kwa bahati mbaya na zenyewe zikanibamba!!!
 
Ilipomaliza season ya kwanza, chandler alishauriwa na baba ake arudi kwenye meli, ilipomaliza ya pili mr presidaa alimshauri arudi kwenye mission. Saivi sijui nani atamshauri arudi baada kuamua kujivua madaraka. Chandler namkubali sana
Atashauriwa na rais maybe, au yule bidada walokiss kuagana(nimemsahau jina)
 
Yeah tex anamuokoa chandler, anapigwa bastola ya tumbo, otherwise mission ya mwisho ya chandler isingefanikiwa bila ya tex, na ndo inapoishia. Hatujui kua atafanyiwa matibabu au laa but amepata jeraha kubwa ya ile bastola. Muangalia tex kwenye season 3 episode ya 12 na 13, jamaa anajua na anapopewa taarifa za kifo cha dr scott anasikitika sana
Kumbuka Tex alikuwa anampenda sana dr.scort, yaani Tex ameniuma aiseee, sikutaka wala sikutegemea angekufa, kama dr scort vile.
 
Mnh! Hicho sasa kiherere!! Yaani ndo kwanza umemaliza Season 3 mara hii unaulizia Season 4??!! Anyway, inasemekana kwamba TNT wame-renew for season nadhani official report haijatoka. Na kama ni kweli wame-renew (I am sure wata-renew tu) basi Season IV kama kawaida itakuwa June 2017; kwahiyo bado sana!!! Tafuta series zingine kali ambazo hujawahi kuziangalia kwa ajili ya kuvutia muda! Niliwahi kufanya hivi kwa kutumia Suit na House Cards na kwa bahati mbaya na zenyewe zikanibamba!!!
Acha tu kiwe kihere here maana ni booonge la searies, hautamani kuiacha ukiianza.

Umesema hadi lini???
 
Kumbuka Tex alikuwa anampenda sana dr.scort, yaani Tex ameniuma aiseee, sikutaka wala sikutegemea angekufa, kama dr scort vile.
lakini pia tex ana mwanawe naye yuko vizuri, nahisi atakuja kulipiza kisasi
 
Daaah mwakani mbali sana jamani, inamaana walivyomuua sijui Peng ndio basi tena China haitoreact chochote kweli!!!
Peng ndie aliyekua anasababisha yatokee makundi kule china, ndio maana raisi alimuona takahaya mzee wa mitego baharini kua ndio muovu, lakini takahaya lengo lake ilikua ni kulipiza kisasi tu. Alipoujua ukweli hakutaka tena kua pirate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom