Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa wale wanao tumia simu, tabs na iPads kudownload movies, series etc.
I recommend for these Apps. Hauto hitaji tena kwenda kwenye sites kama KAT, Extratorrent, etc.
Huku unaandika tu jina la movie au series na kudownload. Very simple.
Kuhangaika kwangu kutafuta best Apps baada ya kuwa na chukizwa na KAT ndio niliweza pata hizi App mbili ambazo they work togather.

1. Torrent search tool (zipo mbili, hakikisha unaipata yenye icon nyeusi, yaani nyeusi kabisaaa. Ile yenye icon ambayo sio nyeusi sana inazingua). Hii kazi yake ni kusearch movie au series.

Mfano.
andika Tyrant S03e06,
then search,
Utaletewa hiyo episode kwa ukubwa mbalimbali mfano 300mb to 2gb,
Utachagua ukubwa unaotaka download,
Then click download.
Baada ya hapo, hiyo movie/series automatically itaenda kwenye TDM na kuanza download.
Hapa unaweza download hata movie/series 10 kwa wakati mmoja. Niwewe tu na bundle ulionayo.

2. Download manager, hii kazi yake kudownload baada ya kusearch movie toka TST.

Refer to the pictures.
 
Hizo ndio pictures, you should refer
 
Attachments

  • 1471125768078.jpg
    1471125768078.jpg
    25.2 KB · Views: 86
  • 1471125785188.jpg
    1471125785188.jpg
    47.6 KB · Views: 68
  • 1471125801148.jpg
    1471125801148.jpg
    40.2 KB · Views: 70
Kwa wale wanao tumia simu, tabs na iPads kudownload movies, series etc.
I recommend for these Apps. Hauto hitaji tena kwenda kwenye sites kama KAT, Extratorrent, etc.
Huku unaandika tu jina la movie au series na kudownload. Very simple.
Kuhangaika kwangu kutafuta best Apps baada ya kuwa na chukizwa na KAT ndio niliweza pata hizi App mbili ambazo they work togather.

1. Torrent search tool (zipo mbili, hakikisha unaipata yenye icon nyeusi, yaani nyeusi kabisaaa. Ile yenye icon ambayo sio nyeusi sana inazingua). Hii kazi yake ni kusearch movie au series.

Mfano.
andika Tyrant S03e06,
then search,
Utaletewa hiyo episode kwa ukubwa mbalimbali mfano 300mb to 2gb,
Utachagua ukubwa unaotaka download,
Then click download.
Baada ya hapo, hiyo movie/series automatically itaenda kwenye TDM na kuanza download.
Hapa unaweza download hata movie/series 10 kwa wakati mmoja. Niwewe tu na bundle ulionayo.

2. Download manager, hii kazi yake kudownload baada ya kusearch movie toka TST.

Refer to the pictures.

Asante sana....je hizi zinapatika playstore au vinginevyo unaweza kushare link?!
 
Halotel ni hatari .... Napakua episodes 30-40 kwa wastani.... 10gb kwa 1500.... Yaaani ni kupakua tu...
 
Kwa wale wanao tumia simu, tabs na iPads kudownload movies, series etc.
I recommend for these Apps. Hauto hitaji tena kwenda kwenye sites kama KAT, Extratorrent, etc.
Huku unaandika tu jina la movie au series na kudownload. Very simple.
Kuhangaika kwangu kutafuta best Apps baada ya kuwa na chukizwa na KAT ndio niliweza pata hizi App mbili ambazo they work togather.

1. Torrent search tool (zipo mbili, hakikisha unaipata yenye icon nyeusi, yaani nyeusi kabisaaa. Ile yenye icon ambayo sio nyeusi sana inazingua). Hii kazi yake ni kusearch movie au series.

Mfano.
andika Tyrant S03e06,
then search,
Utaletewa hiyo episode kwa ukubwa mbalimbali mfano 300mb to 2gb,
Utachagua ukubwa unaotaka download,
Then click download.
Baada ya hapo, hiyo movie/series automatically itaenda kwenye TDM na kuanza download.
Hapa unaweza download hata movie/series 10 kwa wakati mmoja. Niwewe tu na bundle ulionayo.

2. Download manager, hii kazi yake kudownload baada ya kusearch movie toka TST.

Refer to the pictures.
Maelezo mazuri ila ungeweka link ya hizo App.
Ktk maelezo yako hasa hiyo uliyo iwekea angalizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom