Yeaah .. ndio season 6 ilishia hapo.. na hijulikan nan Megan alimu ua kozEp ya 6 c iliishia jamaa kama walipgwa wote walivyozingirwa pale
Regan i mean not meganYeaah .. ndio season 6 ilishia hapo.. na hijulikan nan Megan alimu ua koz
aliwaambia ata muua mmoja. Kati yao...
wakuu any idea series ya hong gil dong nitaidownloadia wap?
angalia DOCTOR HOUSE ni nzuri hutoboeka nayo.Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.