Series (Special thread)

Series (Special thread)

Apps nzuri kuchukua series ni UC browser upload through play store then ingiza O2tvseries kuna zaidi ya series 168
 
Hello mkuu, nimejaribu kupakua kwa hiyo link hapo inapakulika vizuri kabisa, tatizo zinakuja bila sub tittle... Kuna way naeza zipata with sub tittle zake? Thanks in advance

Go to VLC player Click View tab then Download subtitle.

Ita pop up window ndogo ya search angalia result inayofanana na title yako ya series then download sub

Thanks
 
Go to VLC player Click View tab then Download subtitle.

Ita pop up window ndogo ya search angalia result inayofanana na title yako ya series then download sub

Thanks
Thanks mkuu, i've tried this option but still i dont see any thing.. No sub tittles
 
Habari zenu..ndugu naitaji kufaamishwa kuhusu film za muendelezo series ni series gani ya kizungu ya visa vya mapenzi tamu na inagusa ndani ya moyo...
 
Ile ya dokta wa mihogo na mchumba wake waliokimbilia ulaya itakufaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom