umekurupuka kijana wangu, kwa hiyo kikwete ana mandate ya ku facilitate uvunjifu wa sharia na taratibu za nchi?? kama uko Tanzania nakuomba ulale sababu ni usiku sana east Africa muda huu, inawezekana usingizi unakusumbua
Kama ni hela ndefu kwako ilikuwaje ukasema watu wanaona wivu kwa hela ndefu? Kichwa maji sana
Leo ngoja nilale nisikilizie kesooooo
Itakuwa hatujawatendea haki endapo mtaenda kulala bila kuwashukuru wale wote walotoa noti zao kadhaa ili kurejeshea ktk zile alizopewa T.ITeam Kiba tumechukua heshima yetu leo,good bye guys...
Itakuwa hatujawatendea haki endapo mtaenda kulala bila kuwashukuru wale wote walotoa noti zao kadhaa ili kurejeshea ktk zile alizopewa T.I
Wao ndio wamefanikisha mpaka na sisi huku tunaiona live.
ila mida ya asubuhi tusisahau kuwachangia hela za mihogo yya kunywea chai.
"Nlikuwepo":bolt:
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!
Hhhhhaaaaaaaa pia wape pole kwa kusimama sanaaaa
Wanafaa kwenda JWTZ hao...Hhhhhaaaaaaaa pia wape pole kwa kusimama sanaaaa
Hiyo ndio faida ya dharau.
Watu wamekasirika kwa kuwa diamond aliongea maneno machafu sana kuhusu kiba, kuhusu video wala sio clouds walioiandaa, kwa hiyo Godwin gondwe alivokuwa anamkaribsha msanii wa Moro na kusema msanii pekee toka huko ni clouds wamepanga?
Acha hizo mambo.
T.I anatuchanganya tu na broken english yake
Diamond mwenyewe kajisababishia,,, yeye badala ya kujikita kwenye kazi anaanza kujenga bif na mtu ambaye anamashabiki wake wengi tu,,, alitegemea nini hapo?
Hebu fikilia kama Diamond angekuwa kitu kimoja na Ally Kiba - ,,,
hizo ni dalili mbaya kwa soko lake la mziki,,,,
ni ishara kuwa anaanza kupoteza mashabiki wa mziki.
kama ataendeleza bif ategemee kuzama zaidi ya hapo.
Ally Kiba nae asijivimbishe bichwa kwa mashangwe ya fiesta ,, afanye kazi na aachane na ujinga wa kujenga bif na Diamond.
wote ni wanamziki wazuri tu.