Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Ili tuondoe utata huu kwa vile leo wanakutana steji moja mliopo humo na wale wanaoangalia Live clouds Tv tuangalie nani atamfunika mwenzake...

1.atakayepata shangwe nyingi
2. atakayeperfom vizuri
3. atakayefunika kwa mavazi
4. Mengineyo

Si ajabu ali kiba kaimba bure au kapewa elfu hamsini.. Kwa promo aliyo pewa leo ni balaaa... Ni hakunaga...!!
 
Watu wanamsubir Ally kiba inasemekana atapanda tena baada ya TI kuimba
We are still waitng our artist nampenda saana Ally kiba nipo tayar nimpe dada yangu Miss Chagga au Dinazalde au kama yupo tayar miss strong
 
Haku mimi sitaki walamba lips... nataka wabeba zege
 
Watu wanamsubir Ally kiba inasemekana atapanda tena baada ya TI kuimba
We are still waitng our artist nampenda saana Ally kiba nipo tayar nimpe dada yangu Miss Chagga au Dinazalde au kama yupo tayar miss strong

Una hatari wewe????
 
Kwa kweli leo ni aibu tupu

hivi kweli hakuna watu behind haya ya leo kwa diamond maana, hata music wake na davido ilibidi warudie maana imekuwa mbaya na mgeni Davido ameona kituko leo

Diamond usiwe na wasi you are the number one

kwa kweli lazima clouds watuambie wamepanga nini leo na mic kama vile walikuwa wanazima watu wasisikike wakirudia

shame shame watanzania kuonea wivu wanaofanya bidii kuendelea

ila labda kiba alileta watu na mabasi wamzomee hii sio kawaida kabisa, as amekosea nini wananchi hadi azomewe na ndie anayepeperusha nchi yetu now na kidaidi ya wote huko nje. imagine mbele ya TI na Davido.

Sasa inatakiwa Diamond aachane na hizi level za fiesta wamekudharirisha leo clouds fm na wapambe wao. as wamempa promo kiba makusudi na ma king or what ili wamdharirishe Diamond shame on them

******

UPDATE:

WAMEMTENDA DIAMOND NA KUMZIMIA MIC, NOW MCHEZO UMENOGA T.I KAWASHUSHUA LIVE KUWA WA FIX SOUND
KATOKA STEJINI, JAMANI MUNGU ANAJUA KUJIBU WATU WABAYA. KASEMA ANARUDI IN 30 SECONDS NOW NI MADAKIKA MENGI OYEEEEEE MUNGU WA DIAMOND HALALI

EEH NA WA TIMES FM

OYEEE TO DIAMOND WETU
 
Watu wanamsubir Ally kiba inasemekana atapanda tena baada ya TI kuimba
We are still waitng our artist nampenda saana Ally kiba nipo tayar nimpe dada yangu Miss Chagga au Dinazalde au kama yupo tayar miss strong

Weeeeee mpe dada zako nyumbaniii
 
hapa najiuliza kama kweli naweza kutoa hela zangu kwenda kumtizama davido akiperform, bora hata show ya bibi bomba
 
Back
Top Bottom