kamtu33
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 998
- 409
Hii show ya hovyo sana, Hauwezi kufananisha na Kanga moko
Halafu ww utakuwa kweli ni kanga moko laki si pesa
Last edited by a moderator:
Hii show ya hovyo sana, Hauwezi kufananisha na Kanga moko
Sikuwahi kumjua huyu T.I na wale sijui anachoimba ila mziki wake unasikilizika tofafauti na wale wa daresalaaaaaaaam....
Sasa wanamzomea ili iweje? Sehemu ya kuimba Diamond wanaita Kiba ili iweje?? Wee ndo wale wale, na wewe hoja yako ya msingi ni ipi? Kama ipo itetee tuone. Hoja yangu iwe ya msingi au sio ya msingi, watanzania (waliozomea) wana wivu kuwa Diamond kafanikiwa na kamfunika kijana wa kitaa au mchezaji mwenzao wa ndondo. Sasa na wewe Endelea na wivu wako, mwenzio kazomewa ila kapiga hela nyingine ndefu.
Ila bora ya T.I mwaka jana aliingia Roozey kwa mkwala mkubwa ila akaimba kidogo.Sijui mifuta iliyeyuka?Bora T.I anapumzi.
kuna msemo unasema ukiona huelewi kinachofanywa ujue sio kwa jaili yako hiko
hiyo ndo hiphop?kazi mnayo washabiki wa mziki,mimi huyi TI sijui ndo namuona na kumsilikiza kwa mara ya kwanza
Roozey alibaki kubweka tu kama mbwa. Wo wo wo mpaka show inaisha.
Kavua kofia lake sasa anaonekana vizuri.
hv watu wanashangilia kwa kuelewa anachoongea au!! maana mm nackia ---- tu!!
Kairusha kofia atakaeidaka kesho lazima awe maarufu