Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Watu wanazisubiri nyimbo ambazo zilikuwa kwenye promo kwa sana. Ndo zimeanza sasa
 
Nakumbuka miaka mitano iliyopita aliyekuwa nguli wa filamu Nchini Tanzania marehemu ""Steven Kanumba"" alienda kwenye jumba la Big Brother....

amini usiamini bila sababu yyte ya maana watanzania ndo walikuwa wa kwanza kuanza kumsema kuwa hajui kuvaa, nani alimchagua , hajui kiingereza mpaka kufikia kumuigiza!!! Walisahau hata watu maruufu kama Messi na wengine wengi hawajui kuongea kabisa lugha hiyo..

Baada ya kifo chake watanzania hawahawa wakaanza kusema alikuwa nguli aliyetuwakilisha vizuri nje ya nchi na kulia sana!!!kumbe wakati akiwa hai tulikuwa tunamshusha chini..

Miaka mitano baadae Tanzania imempata mtu anayeiwakilisha vizuri nje ya mipaka na kuitangaza vizuri nchi yake..

Pasipokuwa na sababu za msingi (chuki binafsi tu)anapangiwa njama za kuzomewa na kuabishwa katika ardhi ya nchi yake ambayo kwa namna moja au nyingine kuna watu wameifahamu sababu yake!! Ukiuliza sababu za wengi wao kumchukia ni mafanikio yake lakini hata kama humpendi mtu hivi ndo hadi umzomee kwa kiasi kile !!!

leo na kesho naye huyu akitoka utaskia hawahawa waliokuwa wanamzomea wanaanza kusema jamaa alikuwa anatuwakilisha vizuri sana , ametutangaza sana kimataifa!! lakini Watanzania wenzake ndio vinara wa kumuangusha..

Si lazima kila mtu ampende Diamond ila kutumia nguvu kubwa sana kumuangusha mtu ni ishara ya uwoga na Roho ya kimaskini...

Nimeamini ""maisha bila unafki hayaendi""
 
Umeona ee. Hao wengi hakuna kitu.

Hamna kitu kabisa! Mikwara ya rhymes kwa sauti za kichumba!

2 pac na ugumu wake alikuwa hawezi mikwara ya rhymes, yeye alikuwa anatumia kicheko cha back vocal baada ya kutoa diss punch line! Hiyo ameichukua huyu TI nae anakuwaga na vicheko flani akisha spit diss zake!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Nathani wana jamvi la muhimu ni kumshauri Diamond kama kweli alijikwaa akafanya lolote la kuwakwaza aliekuwa nao zamani,ni suala kurudi tu na kukaa na kuyamaliza,kwani wanaokupandisha ndo wanao kushusha hao hao vijana ndo walikua wanambeba na kumshangilia bwana Almas,unakumbuka alipo kuja kwenye msiba wa kanumba gari lake lilikua linasukumwa na leo anazonewa,sasa kikazi na kimaisha si vizuri ni ishara ya kuanza kupoteza mashabiki,tukumbuke hata huko nje wamemjua kwa kuwa Watanzania ndo wamempa promo,la muhimu bwana Nasibu jirudi kwa mashabiki wako kama kweli ulifanya dharau yeyote basi wewe ni binadamu kaa chini maliza,sisi wenye akili tunataka wewe na kiba mfanikiwe tupate burudani,malizeni haya.
 
Sasa kakuuliza nani suala la contract yako? Nimeongea suala la pesa ndefu kwa Diamond, hata kama kapewa 5M kwangu ni ndefu. kama una pesa acha watu waone na waseme sio wewe kujitangaza. Wenye nazo hawasemagi. Acha Upumbavuuuu uliomixiwa na ujinga na kinyesi cha bata.

Kama ni hela ndefu kwako ilikuwaje ukasema watu wanaona wivu kwa hela ndefu? Kichwa maji sana
 
Mimi nikiwa na akili za kuku wewe utakuwa na akili za nyumbu.

Tafsiri: Kama haufahamu, ukiambiwa una akili za kuku, si kuku wa kienyeji, ni kuku wa kisasa tena wa nyama. Kama hauwafahamu kafanye tafiti au uliza anayewajua hawa kuku. Wewe Una wivu na chuki binafsi na dogo, dua la kuku halimpatagi mwewe. Umenipata 'Bill Gate'!! Hayaaa, kalale ukue kiakili sasa, Diamond kishamaliza kuperform, utapumua.
 
Mnyamwezi mnyamwezi tu !!! T.i ni noma nimekubali, he can rap, dance na swag zote pumzi ya kutosha nyie weusi si mmeona hip hop hiyo !!
 
Kuna time nikki alichemka pumzi ilikata ! Jamaa anakamua mbaya ..... GO T.I NA KITU CHA NO MEDIOCRE HATARIIIII YAANI NI SHIDAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom