Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Watu wanamsubir Ally kiba inasemekana atapanda tena baada ya TI kuimba
We are still waitng our artist nampenda saana Ally kiba nipo tayar nimpe dada yangu Miss Chagga au Dinazalde au kama yupo tayar miss strong

Hivi atarudi kweli stejini?ingekuwa poa sana
 
mpaka sasa KIBA amashagwe nyingi. nafikili na yeye wange mpanga mwishoni mwishoni ili kupunguza hizi kelele. watu kama hawaja ridhika jamaa kushuka kwenye stage

Ali kiba kapewa "Special package" ya promo more than anyone today.. Kawekwa kwenye level nzuri, ashindwe mwenyewe sasaa...
 
Diamond lazima amuulize Davido: Tatizo nini?

Ukikua ki muziki ujue ni Shabiki.
Ukishuka ki mziki ujue shabiki.
 
Jamaniiii,hadi najisikia vibaya looh leo ndomo ataliaje???

Ally kiba ndo aende kulia maana ataishia kushangiliwa na wahuni Fiesta..mwenzake baada ya hapa ana tour za kutosha
 
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea.

Wivu gani, ili kutusaidia , weka bayani wivu unaingiaje jina la Ali kiba kutajwa baada ya yeye kuingia, mbona mashabiki wa timu pinzani hutaja jina la messi kila ronaldo anapokuwa na mpira kama njia ya kumtoa mchezoni huo ndo wivu?
Kifupi ni kwamba huna hoja ya msingi,
 
watu wamechoka sana, hadi namuonea huruma davido, hadi skelewi haieleweki kwa mashabiki, ratiba ilikosewa hawa intl artist walitakiwa wapande by saa 6-7 hivi kabla watu hawachoka, then ratiba irudi kwa wabongo wamalizie show tamasha mpaka alfajir
 
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!
 
Kinachoendelea hapa leaderz watu wamechoka na huu mbanano tusiopenda shida tumerudi nyuma walau tuepuke harufu za vikwapa.

Unakuta chako ndo kinanuka halafu unasema unaepuka....kwa kauli nzuri sema unaepusha
 
Kwa kweli leo ni aibu tupu

hivi kweli hakuna watu behind haya ya leo kwa diamond maana, hata music wake na davido ilibidi warudie maana imekuwa mbaya na mgeni Davido ameona kituko leo

Diamond usiwe na wasi you are the number one

kwa kweli lazima clouds watuambie wamepanga nini leo na mic kama vile walikuwa wanazima watu wasisikike wakirudia

shame shame watanzania kuonea wivu wanaofanya bidii kuendelea

ila labda kiba alileta watu na mabasi wamzomee hii sio kawaida kabisa, as amekosea nini wananchi hadi azomewe na ndie anayepeperusha nchi yetu now na kidaidi ya wote huko nje. imagine mbele ya TI na Davido.

Sasa inatakiwa Diamond aachane na hizi level za fiesta wamekudharirisha leo clouds fm na wapambe wao. as wamempa promo kiba makusudi na ma king or what ili wamdharirishe Diamond shame on them

Pia nimeona Kiba kapigiwa advert ya kufa mtu, kuna clip wameonyesha clouds ikionyesha Kiba anavalishwa kufia ya ufalme na maandishi The returning of the King.
 
Si ajabu ali kiba kaimba bure au kapewa elfu hamsini.. Kwa promo aliyo pewa leo ni balaaa... Ni hakunaga...!!

Pamoja ni kupewa promo lakini Diamond ndio kiboko yao, Kawakomoa Clouds leo
 
Kwa hiyo kesho stress mara mbili ,kuvaa nguo za wenye nchi,kufunikwa na mshamba duuuu siku mbaya sana jumapili ya kukumbukwa
 
Back
Top Bottom