Sijui utakuwa umepata jibu?
Mathayo 21:28-31
28. Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
29. Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
30. Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.