Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Moyo ukichoka kulalia chato uamkie mwanza tafadhali😀😀😀 asee nipo kama upepo.. anytime nakuwa mahala flani napo jisikia kuwepo mda huo.. hapa nina mood sana kwenda chato.. moyo wangu umelalia chato.. nitatulia nahisi nikifika hapo

