Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jomoneeeh masuku haya, [emoji39][emoji39][emoji39]
Ndo mda wake huu, utafaidi sana.
Nifaidi waapi mwaya[emoji3]

Nishatimba hapa[emoji116]usiku wa leo,jana nililala songea
IMG_20220105_215133.jpg
 
Naona ingizo jipya halafu linazagaa sana [emoji23]
Crush simtaji wewe, grafu lake linasoma 3/10.. Abaki hapo hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kubadili username au ID mwenzio, Mr Arusha kashaijua hii, sasa tatzo nitagundulika tyuuh haraka. Nipo hoi hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kubadili username au ID mwenzio, Mr Arusha kashaijua hii, sasa tatzo nitagundulika tyuuh haraka. Nipo hoi hapa.
🤣🤣 endelea kusumbuka
 
[emoji1787][emoji1787] endelea kusumbuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nawaza nitoke JF, ila ndo ivo siwezi, hata sijui nafanyaje, kujibana aaah tabu tupu.
 
Back
Top Bottom