Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Kwa hio mkuu lusifa yalimkuta kwa kuwaza tu na wala hakuingia kwenye tendoLucifer alipigwa chini ila kuwaza tu kumchomoa Mungu kwenye enzi yake.. Wazo ni kama mbengu, huwezi fanya jambo lolote pasipo kuanzia wazo.. unacho ona mtu anafanya.. ni. matokeo ya wazo ambalo aliwaza then akali meng'enya kwa ubongo wake hadi likapata nguvu ya kutendeka
Kwa hio mkuu lusifa yalimkuta kwa kuwaza tu na wala hakuingia kwenye tendo
wewe ni mvumilivu rafikiNimekaa kinoma toka saa moja jioni sahii ndio anatupia.. ama kweli nimeamini mvumilivu hula. mbivu![]()
😁😁😁😁 mvumilivu hula mbivu.. haya maisha bila uvumilivu hutoboiwewe ni mvumilivu rafiki
Kabisamvumilivu hula mbivu.. haya maisha bila uvumilivu hutoboi
Yaaaa ilinikaa vyema kabisa 😁😁😁Nimeipenda pens yako,imekukaa vyema hatarii..
Muhimu sana kuwa na uvumilivu 😁😁😁😁Kabisa
Ok, najaribu kuelewa nashindwa.Nawe ulisema moyoni... huyu alikuwa Lusifa.. ukiangalia Isaya 14... tendo huja baada ya kuwaza.. huwezi kutenda tendo kabla hujawaza mkuu
Daah ndiyo narudi, afu nimepitwa na picha pamoja na kukubembelezea koteSasa hapa naweza lala unono... mtoto wa mwanamke mwenzako umenifanyia fair sasa..![]()



In the spiritual realm; thoughts are objects.Refer:
Isaya 14:13
Nawe ulisema moyoni mwako,....
Mungu anaangalia wazo.. Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana.. pia neno liasisitiza.... tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo....
Angalia sana unachowaza.. ndio. maana hata kuzini.. ni pale unapo tazama kwa tamaa na ukaanza ku process.. tayari ni action.. ulimwengu wa roho... wazo ni object..




Ngoja niitafuteSasa kuna swahili version yake unaitwa Muda ni huu ameimba merveile ajabu .
Ayubu 3:25Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Labda ataweka ingine kesho 😔😔😔Daah ndiyo narudi, afu nimepitwa na picha pamoja na kukubembelezea kote![]()
Sijui utakuwa umepata jibu?Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Mmh hapo roho kwatuuuLabda ataweka ingine kesho![]()
Temptation ( sio dhambi), ila uki entertain inageuka na kuwa dhambi.. sasa hivi likija wazo la kuiba, ( jaribu), ilo wazo naweza li entertain hadi nikaiba kweli ( kosa dhambi), pia linaweza likaja pia nikalifuta maana nimeshinda jaribu.. so kuwaza inakuja kuwa kosa pale unapo furahia hilo. wazo na hasa kama ni baya,Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Mmh hapo roho kwatuuu
Ahaaa, nimeelewa.Temptation ( sio dhambi), ila uki entertain inageuka na kuwa dhambi.. sasa hivi likija wazo la kuiba, ( jaribu), ilo wazo naweza li entertain hadi nikaiba kweli ( kosa dhambi), pia linaweza likaja pia nikalifuta maana nimeshinda jaribu.. so kuwaza inakuja kuwa kosa pale unapo furahia hilo. wazo na hasa kama ni baya,